Kujiunga na JWTZ kwa proffessionals

mmmh!!!mbona wameishia 23 tu na wanataka class seven mpaka form six tu!!!je?wenye shahada moja na zaid,stashahada na astashahada zinatoka lin
Tusaidieni hapo J55 na Askari wa Miguu & Appoh plz hii imekaa aje!!.
 
Nasikia jeshi halitaki wazee ndio maana wa chuo wamekaushiwa.
Watu wameforge macheti we unasubilia profesionals.
 
wazee wanamna gan!!wapo vijana bhana vyuon asilimia 97% we unazungumzia wazee,upo dunia gan ya sasa age 24-29 ni wazee ol ndo nguvu kaz
kufoj vyet sio inshu xo unashauri watu wafoj vyet kwel?duh ama kwl hii ndo bongo yenye watu wake wa namna hii@billie usishauri watu kufoj nyaraka za serikal bhana somethng can turn out hot may sunbae.
 
Imekaaje hiyo jwtz Jana walikua wanarecruit professionals finalists hapa udsm je hawa wataanzia jkt or sikwenda ata kwenye usaili wao nasikia ni magumashi sana huko
 
Back
Top Bottom