Kujiunga Chuo baada ya kumaliza Kidato cha Nne

Kujiunga Chuo baada ya kumaliza Kidato cha Nne

samahan wakuu, naomba kuuliza, kwenye matokeo yangu nimepata civ C, na biology C but phy, chem, math na mengne yote nimepata D. mbali na ualimu na nursing, nicourse gani nyingine ambayo ni marketable itanifaa kusomea? tafadhal nifahamisheni waungwana.
 
Pharmacy, optometry,lab tech
Engineering kibao
Wew tu,pitia na uzi wa vyuo vya ufundi
 
Pharmacy, optometry,lab tech
Engineering kibao
Wew tu,pitia na uzi wa vyuo vya ufundi
Mkuu naomba hapo kwenye engineering unipe ufaham kidogo, ni engineering zip hzo zinampokea form four? kuna certiface ya engineering flan kwa maana hyo?
 
Mimi Nina dv ii y 21
CV d
Hst c
Geo c
Eng c
Kisw c
Phy d
Chem c
Bios. B
Math. F
Naweza soma coz gan ya afya?
Kozi yoyote utafit ila coz math ujafaulu. Kuchaguliwa kwa serikali itakusumbua kidogo mana waombaji wanakuwa wengi hivyo badae watacheki english na math ufaulu wake. Inabidi uwahi kuomba alafu uwe update sana na tovuti ya nacte watakuwa wanakupa maelekezo ya kufanya.
 
Mkuu naomba hapo kwenye engineering unipe ufaham kidogo, ni engineering zip hzo zinampokea form four? kuna certiface ya engineering flan kwa maana hyo?
Kuna Uzi wa muongozo wa vyuo vya ufundi pitia pale utapata muongozo vtu ving vmeelezewa pale
 
Kwa nini kila mtu anasema kuna dogo,Mara kuna ndg yangu na hakuna anayesema matokeo yangu ni....
 
Namm nawza kusoma kozi gani ya afya tofauti na nursing
Bios d
Chem d
Engl d
Hist d
Geo d
Kisw c
Civ c
Math f
Phys f
 
nawaonea huruma sana kama umefaulu nenda advance tu maana unajifungia vitu vingi sana usiposoma advance maana hata.chuo hutaweza kua wide zaid.ya koz 1 tu
 
Yan apo ndug nna c mbili alaf advance siwanataka c tatu ndug yan nmependa sana ila ndo hvyo sasa nishauri alternative way
 
Mbona kila mtu anasema kuna mdogo wangu?Au hao wadogo zenu ndio ninyi?
 
Back
Top Bottom