aha kuna chuo mafinga college kinatoa coz zifuatazo human resource ..procurement,accountancy,information technology na business administration chuo kipo mafinga iringa kama atakua anahtaj 0754997606
Kuna Dogo Kazngua Kapta Civ F,hist C, Geo D,eng D,kisw C, Bio F, Math F
Anaweza Nae Akasomea Nn Wadau
Binti wangu ana Div 2 ya 20, anataka fani ya udaktari, tutamsaidiaje?
PCB ana DCC respectively Mkuu!!Kama PCB imekaa vizuri aende A level, mambo mengine baada ya Form VI. Hii ya kuongelea MD mtu yuko Form IV ni mapema mno. Labda kama udaktari unaozungumzia ni huo wa kuungaunga. Lakini kwanini watu leo wanavitafuta vyuo kwa tochi kumbe wangesoma kwa bidii hayo yote yasingekuwepo?
PM aje soma chuo www,tipm.ac.tzHuyu dogo amepata hivi
IV: 27 CIV D, HIST D, GEO D, KISW C, ENG D, PHY F CHEM D, BIO D, B/MATH F , je tunaweza kumsaidiaje?
weka ufaulu wa masomo yake,
pm kumtapeli?why not here in public?una sababu ya msingi kumvuta chocho?asome chuo kama yuko interested achague coz...akitaka uta ni PM
Kama wanahitaji nini?kweli kabisa..vyuo vinasaidia sana..kwakwl..kama kuna vijana wanahtaj 0754997606
Sasa si utoe ayo maelekezo hapa ili na wengine wakivutiwa waje au ndo vile vyuo visivyoeleweka ndo mana mnaogopa kusema mbele za watumaana yangu c kumtapeli maana yangu ni kumuelekeza
After cert. in community healhty, diploma aweza kusomea clinical medicine?mwambie akasome kozi mpya ya afya community health..
kama phys angekuwa amefaulu angeomba nursing au clinical medicine.