Prince naithy
Member
- Nov 18, 2015
- 57
- 3
Diploma au certificatenenda ukasome clinical medicine
Diploma au certificatenenda ukasome clinical medicine
Hii clinical medicine ndio clinical officer? Alafu kumbuka BIOS ana Dnenda ukasome clinical medicine
Hii clinical medicine ndio clinical officer? Alafu kumbuka BIOS ana D
Hii clinical medicine ndio clinical officer? Alafu kumbuka BIOS ana D
Hii clinical medicine ndio clinical officer? Alafu kumbuka BIOS ana D
Hii clinical medicine ndio clinical officer? Alafu kumbuka BIOS ana D
Kuna Dogo Kazngua Kapta Civ F,hist C, Geo D,eng D,kisw C, Bio F, Math F
Anaweza Nae Akasomea Nn Wadau
Wakuu kuna dogo langu limepata iv ya 26 kama inavyoonesha hapa chini,
Civics D, history D, geogr D,kiswa D, english C, biology C,physics F, chemia D na math F
Kwa huo ufaulu hapo juu huyo dogo anaweza kusoma chuo gani na kozi gani ...????
Ushauri pleeease...!!
Binti wangu ana Div 2 ya 20, anataka fani ya udaktari, tutamsaidiaje?kweli kabisa..vyuo vinasaidia sana..kwakwl..kama kuna vijana wanahtaj 0754997606
Afanye application chuo cha uongozi wa mahakama lushotoHuyu dogo amepata hivi
IV: 27 CIV D, HIST D, GEO D, KISW C, ENG D, PHY F CHEM D, BIO D, B/MATH F , je tunaweza kumsaidiaje?
Afanye application chuo cha uongozi wa mahakama lushoto
kuna kijana anapenda koz za afya, matokeo yake Hist-D, Geog-D, Civ-D, Chemistry-D, Bios-C, Kisw-C, Engl-C, Maths-F, Phy-F. ipi aweza pata?aombe kozi ya afya ya community health, kama phys angepata angalau D angesoma cert in clinical medicine
kuna kijana anapenda koz za afya, matokeo yake Hist-D, Geog-D, Civ-D, Chemistry-D, Bios-C, Kisw-C, Engl-C, Maths-F, Phy-F. ipi aweza pata?
taja jina la chuo please.. tujue hapahapa..wanaotaka soma kozi mbalimbLi wani PM