Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?
Ndugu Wanabodi,
Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!
Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.
kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.
Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!
nawasilisha.
ndugu wanabodi,
suala la kujitoa kwa ndugu mwapachu ccm na kudai kuwa ati ccm siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!
Kama alivyoeleza yeye binafsi, mwapachu alikuwa ni teamlowassa , lowaasa akiwa bado yuko ccm. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa ccm waliokuwa wakigawa fedha za lowassa pale dodoma. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi dodoma kumuomba el agombee urais. Ni mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na team lowassa) cv za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara el atakapotinga ikulu kupitia ccm.
Kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe ccm, balozi mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. Tunalifahamu hili na list nzima ya walioahidiwa ukuu wa mikoa, wilaya, wizara, ubalozi, na ukatibu mkuu ipo.
Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka ccm siyo kwa sababu wanataka mabadiliko ya kweli in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa cdm tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa ccm muda huu wa kampeni zambia lala salama!
Nawasilisha.
Naaaaam iyo nafasi inamfaaa maana uzee ni dawa anabusara nyingi sana na hekima siku zote wazee ushauri wao huwa ni wakujenga na siyo wa kubomoa!aliahidiwa Ushauri wa Rais masuala ha Siasa!
Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?
Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?
kwa maelezo yako haya Mwapachu alipaswa kuwa segerea au ukonga wakati huu kama jirani yangu Saidi Ndanje aliyehukumiwa miaka mitano (5) kwa wizi wa baiskel tu. sasa kama mwapachu ameihujumu serilikali kihasi hicho na bado yupu uraiani utanifanya nikuulize maswali mengi mno kuhusu serilikali yako ya ccmKatika watu wanaosubiri kupanda kizimbani ni mwapachu huyu ndiye alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la reli wakati linauzwa kwa wahindi. Huyu ndo tutamhoji alipeleka wapi vichwa vya treni vya mkanada.
Alivyokuwa katibu wa afrika mashariki alifanya kampeni ya kuuza ardhi yetu kinyemela akishirikiana dr.kamala, isingekuwa mzee sitta tungekuwa tumeshaingizwa mkenge na hiki kibabu.
Ndo kawaida yenu..Ndugu Wanabodi,
Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!
Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.
kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.
Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!
nawasilisha.
Ndugu Wanabodi,
Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!
Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.
kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.
Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!
nawasilisha.
Ndugu Wanabodi,
Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!
Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.
kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.
Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!
nawasilisha.
Ndugu Wanabodi,
Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!
Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.
kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.
Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!
nawasilisha.[/Qkuupata ndio anaenda kuupata huo uwaziuwaziriacheni watu watumie haki yao ya kikatiba sio kuchonga bila kufikiri
Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?
Kaka, kwa nini usiwe unakaa kimya kama wenzako? unajichora sana na watu tunakusoma jinsi ulivyo kichwani.
Nakushauri utulie, acha kujibizana na watu humu!
Kwa mfano, hapo juu sasa ndo umeuliza nini? kweli?
Hivi huko CCM kila mtu ni fisadi? Maana kila anayetoka CCM ana madhambi ya hatari. Sasa ona Huyu Mwapachu wakati yuko ccm alikuwa safi kahama ndo tunajuwa ufisadi wake, naona ni bora mtaje madhambi ya kila mmoja kabla hawajahama.Katika watu wanaosubiri kupanda kizimbani ni mwapachu huyu ndiye alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la reli wakati linauzwa kwa wahindi. Huyu ndo tutamhoji alipeleka wapi vichwa vya treni vya mkanada.
Alivyokuwa katibu wa afrika mashariki alifanya kampeni ya kuuza ardhi yetu kinyemela akishirikiana dr.kamala, isingekuwa mzee sitta tungekuwa tumeshaingizwa mkenge na hiki kibabu.
Hata wahame Rais wao ni Magufuli