Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

Hana maslahi tena CCM.Kama ni UBUNGO Kashatemwa.Alimtegemea Lowassa lakini sasa ndiyo hivyo tena. 1.Mimi naomba kuuliza kuhusu Msimamo wa Kingunge katika KATIBA PENDEKEZWA 2.Swali kwa Sumaye,Kingunge na Lowassa.Watuambie Je,Uchaguzi Mkuu wa 1995,2000,2005 na 2010 ulikuwa HURU Na wa HAKI??
Kila raia na kila mpiga kura ana maslahi anayotafuta katika nchi yake. Kwanza maslahi yake binafsi na familia yake, pili maslahi ya taifa kwa ujumla wake. Kama wewe huna maslahi unayotegemea basi una tatizo.
 
Haki ya mungu ccm inapata laana zote hizi baada ya kuwa zarau wazee na kuanza kuwatumia watoto wachanga kabisa kuwatukana wazee eti leo hii February na napo ndio washauri wa ccm hii laaana ndio inayo angamiza ccm leo wazee ndani ya ccm wamekuwa watu wakutukanwa watu wakuonekana hawana busara wala hekima badala yake hawa vijana ndio wenye busara na busara zao nikuwatukana wazee hii ni hatari siyo kwa ccm tu bali ata kwaustawi wa maadili ya jamii yetu sijuwi ccm mnaifundisha nini jamii ya Watanzania juu ya wazee!!?
Leo hii tunashuhudia vijana wadogo sana waliyo pewa nafasi ndani ya ccm wakiwatukana wa asisi wa chama sijuwi hii akili na haya maarifa wanayatowa kwenye sayari gani!?
Kijiko ni kijiko tu hakiwezi kuwa chepe !!!
 
Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.

Mbona povu lakutoka ndugu? Kwani wanaotoka chadema na UKAWA kujiunga na ccm wameahidiwa nini? Akina Slaa, Lipumba na wengine wengi wanafwata nini ccm. Kila mmoja hufwata maslahi hapa duniyani.
Munao mpigia debe Makufuli, muna maslahi naye kadharika wanao mpigia debe Lowassa. Shidaiko wapi. Wakihamia ccm toka upinzani ni safi, akitoka ccm kwenda upinzani munahaha. Kumbukeni, huu mwaka sio 1995, 2000, 2005 au 2010 ni 2015.
Ndo maana muli lala nakwendesha serekali business as usual. Watu waliendelea kujitambua na ifakapo 2020, tutakua tumesahau ccm kwa ilikuwepo. Mjifunze kwamba kila jambo linamwisho, kilo anzishwa na mwanadamu lazima kitakuja fikia kingoni, ndo haya tunayoyaona. Walikianzisha wametangulia mbele za haki na kuna watu walidandia mpaka leo kimebaki chama cha familia na watu wachache.
Leo ccm sio ya wakulima ni ya matajiri, sio ya ujamaa na kujitegemea, yaani haieleweki. Watu wanagawana ma bilioni, wakati wengi nimasikini. Huduma za jamii mbovu na aina zote za social service. Imekua serekali ya anasa harafu leo mnakuja na porojo nyingi kwakujua watanzania ni mazuzu hawajitambui, imekula kwenu mwaka huu. Peopleeeeees Poweeeeeeeeer!
 
Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?

Inamaana hujui kama kingunge dili lake kukusanya mapato alipigwa chini?hujui kama dili lake la parking DSM alipigwa chini?hujui kama lowasa wakati yuko waziri mkuu alishawahi kuamrisha vibanda na vikintena vyote dar vivunjwe kasoro tu vya kingunge nilivyokuwa pembeni ya billcanas,acheni kufuata mkumbo hv huyo kingunge,masha,lowasa wakati wako madarakani walifanya nn kwaajir ya maslahi ya wanyonge mpaka Leo hii ukawa mnawaona wakombozi?
 
haya nenda lumumba kachukue buku 2 yako ya bundle.
 
Hakuna wa kushindana na mabadiliko muda wake ukifika..Na ili kuweza kukitoa chama tawala madarakani ndiyo hiyo kipasuke, kimeguke hadi wabaki wa5 tu...
Muda wa ugeugeu haufiki kamwe
 
ccm kwisha kabisa ukawa tunahakikisha tunamtumia kikamilifu mwapachu and co. kuikamata zone ya tanga na pwani ya mashariki

alafu tutamtumia mzee kingunge kuikamata zone ya mtwara lindi na pwani ya kusini,

sumaye kanda ya kasikazini mashariki,

lemmbeli na bulaya kanda ya ziwa,

mzee msindai kanda ya kati,

mwandosya na mungai kanda ya nyanda za juu kusini-

25 october tumemeliza kazi

Zamani tulivyokuwa wadogo ikipita ndege tunagombea ile yangu ile yangu halafu tunapigiana hesabu mi nna ndege tatu na mwingine atasema nnazo nne...kati ya hao uliowataja hakuna hata mmoja mwenye ushawishi huo unaousema wa kuishika angalau kata!
 
Mtu akitoka CCM ndo anakuwa
1. Fisadi
2. Mchawi
3. Mwizi
4.......
Mkuu hao wanao sema hivyo ndio akina February ambao ndio washauri wa ccm unategemea nini hapo lazima ccm ife na ndicho kinacho tokea ccm ilikuwa inataka kubadilishia gear angani ikashindwa sasa imepotea kama ile ndege ya Malaysia ambayo haijuliakani ilipotelea wapi siku zote mawazo ya wazee ni alimasi leo ccm wameacha kuchukiwa mawazo ya wazee ambayo ni alimasi wana chukuwa mawazo ya kina February ambayo ni chuma !!
 
Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.

Nano akitoka ccm hamtamsema?kila aliyepo huko ccm ni mchafu ukitoka huko umeitua mizigo ya dhambi na laana,wewe endelea kukosoa wanaotoka tu,ila tunajua hata wewe unayataka mabadiliko hapo unasaka tonge.
 
kwa maelezo yako haya Mwapachu alipaswa kuwa segerea au ukonga wakati huu kama jirani yangu Saidi Ndanje aliyehukumiwa miaka mitano (5) kwa wizi wa baiskel tu. sasa kama mwapachu ameihujumu serilikali kihasi hicho na bado yupu uraiani utanifanya nikuulize maswali mengi mno kuhusu serilikali yako ya ccm

Hilo halina deadline, hukumsikia Mwakyembe?
 
Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.
kumbe lowassa atakuwa rais!!!
 
Haki ya mungu ccm inapata laana zote hizi baada ya kuwa zarau wazee na kuanza kuwatumia watoto wachanga kabisa kuwatukana wazee eti leo hii February na napo ndio washauri wa ccm hii laaana ndio inayo angamiza ccm leo wazee ndani ya ccm wamekuwa watu wakutukanwa watu wakuonekana hawana busara wala hekima badala yake hawa vijana ndio wenye busara na busara zao nikuwatukana wazee hii ni hatari siyo kwa ccm tu bali ata kwaustawi wa maadili ya jamii yetu sijuwi ccm mnaifundisha nini jamii ya Watanzania juu ya wazee!!?
Leo hii tunashuhudia vijana wadogo sana waliyo pewa nafasi ndani ya ccm wakiwatukana wa asisi wa chama sijuwi hii akili na haya maarifa wanayatowa kwenye sayari gani!?
Kijiko ni kijiko tu hakiwezi kuwa chepe !!!

Hiyo ndio overhaul yenyewe, kama mzee yuko tayari kununuliwa kwa rupia mbili bora aende
 
Back
Top Bottom