Kujitenga kwa Uingereza kutoka EU

VanMacJastas

Member
Apr 20, 2016
77
56
Wanajamii wenzangu kuuliza sio ujinga,na pia kwenye Dunia hii ya kama kijiji ni muhimu kufaahamishana kinachoendelea kwa ndugu zetu Uingereza, Sio wote tuna uelewa juu ya swala hilo, Hebu naomba mwenye uelewa watueleweshe kinachoendelea Uingereza na tatizo ni nini kilichowasibu.
 
Wanajamii wenzangu kuuliza sio ujinga,na pia kwenye Dunia hii ya kama kijiji ni muhimu kufaahamishana kinachoendelea kwa ndugu zetu Uingereza,Sio wote tuna uelewa juu ya swala hilo,Hebu naomba mwenye uelewa watueleweshe kinachoendelea Uingereza na tatizo ni nini kilichowasibu:
Ulaya wanatumia visa moja.Ukiwa nayo unaingia nchi yoyote
sasa kumetokea Kufurika kwa wahamiaji wazungu malofa wengi toka ulaya mashariki kule zilikokuwa nchi za kikomunisti kumewaumiza sana waingereza.Hao wahamiaji wazungu malofa walijazana uingereza wanafanya kazi kwa ujira mdogo hivyo nafasi nyingi za kazi wamezichukua wao na kuwanyima wazawa malofa nafasi za kazi nchini mwao.

Kura ile ilikuwa ni ya malofa wa uingereza kutaka kujitoa umoja wa ulaya.Matajiri,wasomi na wafanyabiashara wao walikuwa wanataka wabaki jumuiya ya ulaya.Lakini wapiga kura malofa wakawazidi nguvu maana ndio wengi wakawashinda kwa kura.
 
hao marofa sasa ndio wataumia zaidi kama walitegemea kupata maisha bora kwa kutenga marofa wahamiaji ndio watafaidika, subiri capitals,factories etc zianze kukimbizwa na matajiri nje ya UK sijui watafanya nini? cheap labour ipo next door wala sio lazima China ,sitashangaa British nao wakigeuka marofa wahamiaji nchi nyingine
 
Back
Top Bottom