kujitapa kusoma chuo furani ndio kujua mambo au ni kwenda kuangaria mazingira na kuanza kujitapa

kanyumiza

New Member
Feb 27, 2014
1
0
maana watu wengne badala ya kutoa mada nzuri wao wanasifia vyuuhusu vyuoo vya watu na wala c vya wazazi wao, ikumbukwe atanzania wye wanapomalza shule huishia ktafta kazi hvyo hakuna haja ya marumbano kuhusu vyuo
 
La le li lo lu.
Ra re ri ro ru.
Kuna tofauti kimatamshi na kimaandishi,haziko sawa.
ndugu me nimejaribu kuandika kama alivyoandika mtoa mada. hebu soma vizuri neno baada ya neno ya kichwa cha habari na mada yenyewe jinsi mtoa mada alivyoandika alafu umsahihishe mtoa mada sio mimi.
 
waadhirika wengi wa elimu ya bongo awawezi kutofautisha kati ya r na l.....
 
maana watu wengne badala ya kutoa mada nzuri wao wanasifia vyuuhusu vyuoo vya watu na wala c vya wazazi wao, ikumbukwe atanzania wye wanapomalza shule huishia ktafta kazi hvyo hakuna haja ya marumbano kuhusu vyuo

Uandishi wako unaendana na uwezo wako. Kutokana na uwezo wako mdogo, ndio maana ulichaguliwa kujiuga na KALUNGUYEYE UNIVERSITY!
 
Ha ha ha!
Mtoa mada andika vizuri bwana

usimlaumu muulize amesoma kozi gani na chuo gani. Labda amepiga bachelor of science in applied physics ambapo wao spelling na punctuation si razima sana waweke.
 
maana watu wengne badala ya kutoa mada nzuri wao wanasifia vyuuhusu vyuoo vya watu na wala c vya wazazi wao, ikumbukwe atanzania wye wanapomalza shule huishia ktafta kazi hvyo hakuna haja ya marumbano kuhusu vyuo

dah KICHEFUCHEFU ANDIKA VIZURI BWANA
 
usimlaumu muulize amesoma kozi gani na chuo gani. Labda amepiga bachelor of science in applied physics ambapo wao spelling na punctuation si razima sana waweke.

Si kweli!
Grammar karibu yote inafundishwa O Level na Shule ya Msingi.
 
maana watu wengne badala ya kutoa mada nzuri wao wanasifia vyuuhusu vyuoo vya watu na wala c vya wazazi wao, ikumbukwe atanzania wye wanapomalza shule huishia ktafta kazi hvyo hakuna haja ya marumbano kuhusu vyuo

Wengne?
Vyuuhusu?
C?
Atanzania?
Wye?
wanapomalza?
ktafta?
Hvyo?
Marumbano?
Furani?

Ni uvivu wa kuandika?
Makusudi?
Au unakimbizwa na simba???
 
Back
Top Bottom