Kujishusha sio Ujinga. Badilika !!!!

Kujishusha sio Ujinga. Badilika !!!!

Kuna mitihani kwenye maisha; kama utaweza kutokuongea wakati una hasira basi utakaa ugombane na mtu..

Nakumbuka kuna mtu (wa karibu) aliniandikia sms mbaya ya kuni accuse bila ushaidi wowote..aliziandika mfululizo; maana simu ilikuwa mbali nikakuta sms kama 10 hivi.

Nikamjibu kwa urefu na hasira (kama yeye alivyoandika)

Mungu mkubwa sms zikagoma kwenda (sijuhi kwa nini wakati nilikuwa na balance ya kutosha)

Nikapiga simu; ulikuwa usiku wa manane; kasusa hajapokea.

Kesho yake tumekuja kuongea skype; mimi wala sikuongelea tena sms; yeye hasira zimeisha. nilipokata ka connect tena anaulizia issue iliyomfanya awe na hasira...

Nikamjibu kwa ufupi na kwa upole...(siwezi ku control someone else's speech; kwa hiyo hilo swali ni gumu kwangu kujibu na majibu yatakuwa ni ya ku guess tu) nikamuona amelainika na anajutia alichoandika... Maana alikuwa anataka nimjibu kwa nini kuna mtu ameingilia conversation yetu skype kwa kuniuliza naongea na nani...

Ila sms nilomjibu jana yake ingemfikia ugomvi ungechukua wiki....
 
una bahati.....
naona alivuogopa kupokea simu usingizi ulikuruka lol
na wewe ulikesha na pengine ulianza maombi kabisa lol
 
Ndio maana naukubali sana ule usemi usemao"NI BORA JINI UNALOLIJUA KULIKO MALAIKA UNAYEMSIKIA"
Nalog off

Kweli kabisa, upo usemi mwingine huwa unanijia kichwani kila mara "BORA KICHAA ULIYEMZOEA KULIKO KICHAA MPYA" eeeh huyo kichaa wako utakuwa ushajua jinsi ya kum control kuliko mpya maana tumetofautiana kla mtu na kichaa chake
 
Kujishusha ni tabia ambayo inakusaidia kuishi kwa amani mahali popote. Inakusaidia kuishi na ndugu zako na hata ndugu za mwenza wako kama unaye. Cha muhimu ni kuchora mstari kuwa hapa hapatavukwa. Mambo ya kupigwa afu ujishushe. Ama emotional abuse afu unajishusha. Hiyo haikubaliki.

kumbe kunatakiwa kuwe na conditions?? kwanini ujishushe sasa kama unamipaka si bora mmalizane hukohuko juu
 
It depends though na type ya mwanamke mwenyewe, wengine kadri ushukavyo ndivyo apandavyo na that's really sucks
Nadhani tafakari yako haiko sahihi, kujishusha si kwa mwanaume tu, hata mwanamke kuna wakati inabidi ashuke na hasa pale mwanaume anapofanya makosa ya wazi. Kitendo cha kumsamehe na bila kuweka moyoni na maish yakaendelea Kama kawaida ni kujishusha. Vinginevyo anaweza kubeba mabegi na hata umbea msamaha kiasi gani asikusikie
 
Yeah...hata uwe mpole kiasi gani mtu aki ku provoke utapandisha hasira tu...

Ila siku hizi nimejifunza sana jinsi ya kuishi na watu; na kujishusha wakati mwingine ni kudharau kitu kinachoongelewa badala ya kuanza ubishi ...unaongea mtu anakutazama tu au anakujibu ndiyo ndiyo ndiyo (bila comment yeyote) mwenyewe baadae unajiona mwehu....

Zamani nilikuwa a true Virgo....nime learn mapungufu yangu;

una bahati.....
naona alivuogopa kupokea simu usingizi ulikuruka lol
na wewe ulikesha na pengine ulianza maombi kabisa lol
 
Kuna mitihani kwenye maisha; kama utaweza kutokuongea wakati una hasira basi utakaa ugombane na mtu..

Nakumbuka kuna mtu (wa karibu) aliniandikia sms mbaya ya kuni accuse bila ushaidi wowote..aliziandika mfululizo; maana simu ilikuwa mbali nikakuta sms kama 10 hivi.

Nikamjibu kwa urefu na hasira (kama yeye alivyoandika)

Mungu mkubwa sms zikagoma kwenda (sijuhi kwa nini wakati nilikuwa na balance ya kutosha)

Nikapiga simu; ulikuwa usiku wa manane; kasusa hajapokea.

Kesho yake tumekuja kuongea skype; mimi wala sikuongelea tena sms; yeye hasira zimeisha. nilipokata ka connect tena anaulizia issue iliyomfanya awe na hasira...

Nikamjibu kwa ufupi na kwa upole...(siwezi ku control someone else's speech; kwa hiyo hilo swali ni gumu kwangu kujibu na majibu yatakuwa ni ya ku guess tu) nikamuona amelainika na anajutia alichoandika... Maana alikuwa anataka nimjibu kwa nini kuna mtu ameingilia conversation yetu skype kwa kuniuliza naongea na nani...

Ila sms nilomjibu jana yake ingemfikia ugomvi ungechukua wiki....

Silence can be so deadly. If you know how to use / apply it at the right time. Kuna watu wanajua kutumia silence to influence others. Good example: Unakuta mtu amekutusi sana.....alaf we ukabaki una muangalia na kukaa kimya. Seriously if u know how to do it well....yule mtu anaweza jiona wa ajabu ajabu sana. Si ajabu baadae akakutafuta na kukuomba msamaha.
 
Kweli kabisa, upo usemi mwingine huwa unanijia kichwani kila mara "BORA KICHAA ULIYEMZOEA KULIKO KICHAA MPYA" eeeh huyo kichaa wako utakuwa ushajua jinsi ya kum control kuliko mpya maana tumetofautiana kla mtu na kichaa chake
Upo sahihi kabisa.
Nalog off
 
Ni kweli kabisa uyasemayo lkn hawa wanaume wetu sijuii maana akijishusha ye sio kidume mbegu!!Wengine ndo full kuzira!!Mtu ukilala bila ugomvi na mtafaruku na yoyote hata usingizi huwa wa amani na mwanana zaidi!
 
Back
Top Bottom