Kujisaidia mbele ya mpenzi wako.

Kujisaidia mbele ya mpenzi wako.

ila wanawake wengine kweli
kauzu.yupo mmoja nakaa nae hapa wala sina mahusiano nae,basi choo ya
wote kimepasuka pipe,hakitumiki,kinatumika cha chumbani ambako ndo
napiga mboji.

Akibanwa utastukia ameingia room hadi toilet kisha tra ta ta pratatata
buuu,wakati anajua nipo mle room nasikia,halafu akimaliza anatoka uso
mkavu,nakua namshangaa tu,nishamuona wakawaida hata kumtamani
siwezi.

Huyo ndio mwanamke anaejielewa! Ya nini kujibanabana ujiharishie? Napenda mwanamke wangu awe huru na Mimi sio kupretend, ni ujinga!
 
hahahahaha unawaza huku gogo linakatika waweza kupata idea za maana atii

teeeeh, wewe mtoto una visa..humuonei aibu mchuchu wako mkiwa wote chooni? Ile ni sehemu faragha kwa ajili yangu tu..
 
Nawe unakaa uswahili hadi toilet ya room kwako inakuwa ya wote si tabu hiyo, ulivyoanza kueleza stori nikajua mkeo kumbe jirani tu. Hapo kama ni kwenu au haulipi kodi endelee kukaa ila ukipata kipindu pindu au kuzushiwa umebaka mke wa mtu ujue ulitarajia.
 
teeeeh, wewe mtoto una visa..humuonei aibu mchuchu wako mkiwa wote chooni? Ile ni sehemu faragha kwa ajili yangu tu..

aibu ya nini elli wapenzi mnatakiwa muishi kirafiki tena ukiwa mgonjwa hujiwezi nani atakusaidia kukupeleka ukakate gogo si huyo huyo hubby wako
 
Kwa hyo ukifikia korasi ya pruuuuu mara pwaka pwaka pwaka akiingia unapozi kiaina au ukifikia ile twiiiiiiiiiiiiiii buuuuuuuuu unaacha kma ameingia? Au ukifikia ile tatattaa tuuuuuuuuu?

Hahahaaaa.... kwikwikwiiiii
...umenifurahisha kwa kwel
 
Naww unaona aibu?
sioni aibu, bali naona si ustaarabu kabisa. Siji kupuu mbele ya mpenzi wangu hata siku moja, unless niwe mgonjwa na yeye ndio ananipeleka na imemlazimu kunisimamia. that thing need a privacy bana.... angrrrrrrrrrr
 
Hahahah yeye hajasema mbele yake anaona aibu kuingia chooni kwny chumba cha self contained wakat mwenzie yupo chumban
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom