Kujisaidia mbele ya mpenzi wako.

Kujisaidia mbele ya mpenzi wako.

Keep Away From Reach Of Children, Also Shake well Before Use, In Short Dont Try This At Home!!! Ukijiachia Kis**e Hivyo Kwangu Hukai, People Mengine Yanastahili kubaki PRIVATE!!
 
ila wanawake wengine kweli kauzu.yupo mmoja nakaa nae hapa wala sina mahusiano nae,basi choo ya wote kimepasuka pipe,hakitumiki,kinatumika cha chumbani ambako ndo napiga mboji.

Akibanwa utastukia ameingia room hadi toilet kisha tra ta ta pratatata buuu,wakati anajua nipo mle room nasikia,halafu akimaliza anatoka uso mkavu,nakua namshangaa tu,nishamuona wakawaida hata kumtamani siwezi.
Nimecheka peke yangu
 
usijilazimishe, kila uhusiano na nature yake. Mwambie awe anakupa space yako.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Anavyo shusha yeye unapenda harufu ya kinyesi
 
Mada nilizozikuta sasa hivi, zinachangamsha sana jukwaa
 
Choo ni sehem private kwa ajili yangu, wakati mwingi nakuwa nawaza na kiwazua mambo yangu.
 
Siwezi kuona aibu kwenda kukata gogo hata kama wamekaa uani wanawake tunaish nyumba 1
 
mbaya zaidi hata tv naangalia ya room huku nimejiegemeza ukutani nikiwa kwa bed so mda mwingi nakuwemo hasa jioni,lakini hata kujisaidia kisailensa ?

Kisailensa huwezi kuinjoi jirani...
 
mmmh ila yataka moyoo! mi ntajibana hadi utoke room aisee
 
Wapendwa habari zenu..jamani,me mwenzenu sijui ni aibu zinanisumbua au ni nini,yani kila nikienda gheto kwa mpenzi wangu nashindwa kukata gogo kwa raha,kama mjuavyo hzi nyumba za kisasa zilivyo,master bed room inakua na choo na bafu humo humo,asa naweza nkawa nakata gogo then my sweet anaingia kuswaki basi me nakosa amani kabisa ila yeye mwenzangu nikimkuta kachuchumaa anashusha mzigo wake anakua yuko comfortable tu,ebu nisaidieni,nifanyaje ili na me niwe na amani niweze kukata gogo kwa amani mbele ya mupenzi!

mmhh..kinyaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom