Kujisaidia mbele ya mpenzi wako.

Kujisaidia mbele ya mpenzi wako.

kibheri

Senior Member
Joined
May 18, 2014
Posts
105
Reaction score
39
Wapendwa habari zenu..jamani,me mwenzenu sijui ni aibu zinanisumbua au ni nini,yani kila nikienda gheto kwa mpenzi wangu nashindwa kukata gogo kwa raha,kama mjuavyo hzi nyumba za kisasa zilivyo,master bed room inakua na choo na bafu humo humo,asa naweza nkawa nakata gogo then my sweet anaingia kuswaki basi me nakosa amani kabisa ila yeye mwenzangu nikimkuta kachuchumaa anashusha mzigo wake anakua yuko comfortable tu,ebu nisaidieni,nifanyaje ili na me niwe na amani niweze kukata gogo kwa amani mbele ya mupenzi!
 
Kweli naona Boom limeisha sasa umechanganyikiwa kabisa
 
Kwa hyo ukifikia korasi ya pruuuuu mara pwaka pwaka pwaka akiingia unapozi kiaina au ukifikia ile twiiiiiiiiiiiiiii buuuuuuuuu unaacha kma ameingia? Au ukifikia ile tatattaa tuuuuuuuuu?
 
Anza na mazoezi ya kujamba mbele yake baadaye utazoea hata kukata gogo bila wasiwasi

Angekuwa han... hapo sawa, lakini kama na yeye anaku... sioni tatizo liko wapi tena jiachie kabisa
 
Ebu jaribun kuwa watu wa mzaha mzaha,kuwa serious mda wote kuna wawekea limitation.
 
na amzoee sasa atamwogopa hadi lini
ila wanawake wengine kweli kauzu.yupo mmoja nakaa nae hapa wala sina mahusiano nae,basi choo ya wote kimepasuka pipe,hakitumiki,kinatumika cha chumbani ambako ndo napiga mboji.

Akibanwa utastukia ameingia room hadi toilet kisha tra ta ta pratatata buuu,wakati anajua nipo mle room nasikia,halafu akimaliza anatoka uso mkavu,nakua namshangaa tu,nishamuona wakawaida hata kumtamani siwezi.
 
haHhahahaha chezea uharo
 
Kumbe ndo wewe jirani....sasa ulitaka niwe najibana au nasubiri utoke?
 
Mzoee tu coz tayari yeye anaona kawaida sana hatokushangaa na ndomana ukiwa huko haoni hatari kuingia.
 
Relax,kata gogo lako kwa raha zako..tena mbele ya mpenzi si ndo unakuwa huruuu kabisa?ukimuonea aibu huyo,siku ukiwa na watu hujawazoea ndo utajiharishia kabisaaaa
 
Kumbe ndo wewe jirani....sasa ulitaka niwe najibana au nasubiri utoke?
mbaya zaidi hata tv naangalia ya room huku nimejiegemeza ukutani nikiwa kwa bed so mda mwingi nakuwemo hasa jioni,lakini hata kujisaidia kisailensa ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom