Kujisafisha kwa "toilet paper" dhidi ya maji tiririka chooni, kipi ni sahihi kwa afya?

Hizo toilet paper . mkiwauliza uwa mnazitupa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ila tunao tumia maji, bado tuna shika kinyesi wakati wa kunawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Katika kipindi hiki cha mripuko wa ugonjwa wa Corona nimeshuhudia familia nyingi hasa za nchi za ulaya na marekani wakinunua kiasi cha toilet paper kwa wingi sana, na imeonekana kama bidhaa muhimu.

Binafsi niliamini hicho kifaa siyo muhimu watu wangehakikisa maji ya kutosha yapo vyooni mwao, na sidhani kwa kutumia toilet paper kujisafisha ni sahihi zaidi dhidi ya maji.

Je, matumizi ya toilet paper ni sahihi zaidi katika kujisafisha baada ya kumaliza haja zako chooni kuliko maji?

 
Chukua kitu chochote kipake girisi au oil halafu safisha kwa karatasi,jaribu kuangalia result baada ya kufanya hivyo

Halafu chukua Kitu hicho ulicho paka girisi au oil safisha kwa maji,Halafu angalia Matokeo yake..

Upata jawabu..

Kwaa wale WAISLAM wa kweli yaani wanasali Sala tano kwa siku huu ugonjwa.tabu.sana kuwapata..

Kwa muono wangu dini ya kiislam inafundisha waumini wake kuwa nadhifu sana kuliko dini site tulizokuwa na hapa duniani
 

Mdau wapi magazeti na daftari ndiyo unastanji nayo.
Huu utamaduni unaendana na dini pia, km wewe muislam maji hayawezi kukosa chooni.
 

Ubichi bichi wa maji kwenye matako sio kero kwa jinsi tulivyoumbwa,unakula.wenyewe

Issue iko kwenye kusafisha hiyo sehemu kwa karatasi inakuwa haisafishiki vizuri,

watu wengi wanaosafisha hiyo sehemu kwa karatasi chupi huwa zinachafuka,uchavu uuwa unabaki kwenye chupi baada ya kusafisha..

Kusafisha kwa maji halafu ukakausha kwa Karatasi kuondoa ubichi bichi ndio njia Bora zaidi,hata wazungu wanawafundisha watu wao wafanye hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…