Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,714
Wakuu mambo vipi?
Nina swali fupi, naomba mnisaidie
Hivi kati ya mtu anaye tumia maji kutawaza baada ya haja kubwa na mtu anaye tumia toilet paper, nani anakuwa katika hali ya usafi zaidi??
Binafsi natumia maji, sijawahi tumia toilet paper, sasa nawaza siku nimeingia sehem nimekuta toilet paper alafu hakuna maji kabisa, nahisi itakuwa kisanga kidogo , maana nahisi K yangu nitaiacha na Nnya kama ilivyo kwenye vyoo vya kukaa kwa watu wengine
Sent from my iPhone using JamiiForums