Kujirekebisha kwa Azam TV kupo huko mbeleni?

rusesa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
538
233
habari wana jf.
mimi nipo katika mchakato wa kununua king'amzi. nilikuwa nataka nichukue azam tv. lakin kwa sasa hivi nasikia azamu tv hawaeleweki mara bei ipande ya vifurushi vyao mara local channel zikatwe.

je siku za mbeleni wanaweza kujilekebisha au ndo imetoka? nishaurini nichukue azam tv.
 
Chukua canalplus bei ya kifurushi elfu 35 kwa mwezi kununua dish ni laki moja na sabini unapata miez mitatu ya ofa hili dish ni maalumu kwa mpira hutoka ligi kubwa zote kama uefa,epl,laliga, europer etc
 
Kinapatikana wapi mkuu
 
watajilekebisha tu mkuu mbona zuku walijirekebisha kuna mpaka kifurushi cha elfu kumi
 
Unaweka mahope et! Hawa jamaa kubakisha tbc wameniboa hatari! Si wangekata zote sasa! Mfyuu!!
 
Back
Top Bottom