Kujipikilisha; utoto raha sana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
b08605a3bcbdb6f781bfec3b175325c5.jpg
 
Ndio maana tunazalisha kizazi kizembe zembe tu. Huko kujipikilisha kulimjengea mtoto wa kike kuwa hata akiwa mkubwa basi majukumu yake ndio kama hayo kupika,kufua,kuosha vyombo n.k. Na mtoto wa kiume anatambua mapema kuwa jukumu lake ni kuwa baba bora wa familia. Yaana anaanza kupractice maisha akiwa mdogo..

Lakini saiv toto linakuwa hata halijielewi kama linatakiwa kuwa baba mwisho wa siku linageuka kuwa shoga...

Hakuna ubunifu, watoto wa siku hizi ukiwaonesha chungu cha kupikia wanashangaa wakati enzi zetu tulikuwa tunavitengeneza.

Nilishangaa hata kidude flani hivi (unachukua kizibo cha soda unakiponda kinakuwa bapa afu unapitisha uzi katikati unafunga unaanza kuzungushaa kinatoa mlio) eti siku hizi mchina ndio anatengenez. Duh...
 
Back
Top Bottom