Kujipendelea Muhimu

Hahahahhaa nyamayao una bahati ulikuwa na evidence na kidhibiti kabisa sasa kwa sie wavivu wa kufuatilia na wazembe wa kugundua inakuwaga tabu kweli. Mie nilisikia na kuonyeshwa kila aina ya ushahidi but badala ya kufuatilia nijue ukweli nikafunga moyo .................Si kwa uchungu la hasha nilikuwa kama ninayeshukuru kimoyomoyo kuwa angalau nitapumzika na gubu zake ...............ah

MJ1...mie ninavyojua kumchimba, akianza upuuzi wake kuna badiliko ntaliona, hajiamni tena, anakuwa mtu wa wacwac kila dk, cm mfululizo hata dk 10 haziishi kutaka kujua nipo wapi nafanya nn, hapo lazima namwambia kuna upuuzi umeuanza/una mapango wa kuuanza, kesho utaona wacwac umepunua cjui ndio anakata mawacliano huko au inakuwaje, langu ni rahic sana kulijua mabadiliko yake.
 
we mpe tuuuuuuuuu

...astaghafirullah....!

Mbu bana................khaaa!

...haya tena. Nini kaka, kwema? Wapi Klorokwini?

ukifikia kwa wale wa kununuliwa viwanja na kubadilishiwa magari ndio bac tena kiruuu, ndio mana mie kuanzia lile tukio langu nilimweleza kabisa pesa yangu ni yangu yako ni yetu mana naona haina kazi zaidi ya kujitundika bar na hawara, hapo akili iliniruka kabisa nikifikiria ana spend ngapi kwa huyo mwanamke, maisha haya jamani jamani.....

...mnh, dada'ngu kumbe shemeji bado anatumikia kifungo cha maisha?
Akijitutumua kukupeleka 'honeymoon' nyingine hivi utu uzimani bado tu hautomsamehe jamani?
Vibaya hivyo...LOL!

Kwakweli na kwa faida ya wengineo, ningependa kujua atakufanyia nini ndipo utaweza kumridhia na kuondoa doubts. Hebu nifunde kak'io.

We mbu mchokozi wewe unafikiri nyumba ndogo hatujijui kama ni spare tyre na ndio maana na sisi tunaangalia penye neema punguza matatizo yako nami nipunguze yangu lol. kwi kwi kwi kwi kwi

Maty unataka wapandisha presha wenzio sasa, ha ha!
 
hahahah haya bwana, kweli kupunguzana machungu, ndio mana mie nasemega kwa kumrushia chupa sio hawara ni limwanaume lako coz hawara yeye alifatwa tu na maahadi kibao, mie nakula sahani moja na mtoa ahadi labda huyo hawara yake anunue ugomvi na ni wachache wa kununua ugomvi huwa wanatimuka mbio,hahaha natamani ungeniona cku hiyo nilivyowatokezea pale bar maisha bila vimbwanga hayanogi kabisa hahahahah

nyamayao bwana.......hivi huweziirudia tena? maana kama nakuona!![/QUOTE]

ile hata mie mwenyewe nikiikumbuka nakufa mbavu..hahahah mbaya zaidi yule mwanamke inaonekana alikuwa hanijui, bac alivyoona jamaa anachanja mbuga ndio akazinduka na yeye kutimua but hata angebaki nicngemfanya lolote kabisa, cna muda nae nina muda na jamaa....hhahaha ile kuirudia ni ngumu aisee mpaka kitendo kitokee tena...hahaha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Swahiba Mbu,

Nadhani mambo ya kujipendelea ni lazima sana tu, si kwa mupenzi tu hapana sometimes hata wewe mwenyewe.... any chance to go out, refresh and dream awake is great

Napenda sana picha ulizoweka, zina raha yake (ombea tu usikutane na mbung'o au nyuki)

Upande wa mapenzi, sometimes just sleeping in a wonderful hotel/motel room with room services, super bath and smoooth drinking while watching something nice inaongeza sana utamu na kupunguza tribunals

Thank you for a gentle reminder" --- angalizo, gesti house za wenyeji hazihusiki na hii sredi:doh:

...spot on bro!

...ila hapo kwenye 'mwenyewe,' tukishaingia kwenye hizi pingu za maisha neno mwenyewe linazikwa rasmi.
'mwenyewe' inayobakia ni ile ya kulala chumbani mchana wa jua kali wakati mamsapu ka lock mlango wa chumba kwa nje ('usitoke/usimkimbie!') ...halafu nae katandika mkeka langoni... eti yupo bize anasuka ukili!

Anyway, naburudika na Nyamayao na Mwj1 hapa...wamekutana...
mie nikidhani gubu ni yale makelele ya home yacyoisha, kidogo tabu kikubwa tabu, ya kwangu mie kama ni jmc tupo home nikimuona nabadili t-shirt na mie navaa jeans, nakucndikiza uendako, nipo home mpaka saa mbili hajafika namcal niambie upo wapi nikufate,habaki mtu home mwenyewe labda awe safarini. kama hawara atakuwa wanaonana kwa muda mchache sana na kwa wacwac wa kumtosha coz anakumbuka makubaliano yetu baada ya lile tukio, nakaba sana tu sasa hivi mpaka kieleweke.
Hahahahhaa nyamayao una bahati ulikuwa na evidence na kidhibiti kabisa sasa kwa sie wavivu wa kufuatilia na wazembe wa kugundua inakuwaga tabu kweli. Mie nilisikia na kuonyeshwa kila aina ya ushahidi but badala ya kufuatilia nijue ukweli nikafunga moyo .................Si kwa uchungu la hasha nilikuwa kama ninayeshukuru kimoyomoyo kuwa angalau nitapumzika na gubu zake ...............ah
.

...nyamayao ni mkali kwenye kulinda 'koloni lake,' ...Mwj1 ni mpole....ukiwasoma ni burudani tosha.
 
...ha ha ha, Maria Roza Mke wa aina hiyo atakuwa hasharifiki japo uliyosema ni kweli tupu!
aahhh, kwenye ndoa hizi...unampata Mke yeye kazi yake kukukatisha tamaa tu! No wonder wanaume wengi
wanajiamulia kujirusha 'Outings' iwe Mango Garden, au hata Dubai na nyumba ndogo

Nice one. Umenichekesha asb asb!

Mzee Mzima MR hajakosea kabisa, zipo sana hizo kwenye ndoa. Maisha haya!
Halafu usipojitutumua utasikia lawama, "Ohhh....mwanaume mbahili weee!...angalia Bwana Kijiko anavyo mstarehesha na kusafiri Mkewe!"

Hahahahaha! lol! You can't win either way :)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu......laiti mngejua ni jinc gani mnavyoharibu nyumba zenu na hao mahawara zenu bac mcngekuwa mnayafanya, na kama mnafanya hakikisha mnafanya kwa ucri mkubwa sana sana tucjue, kwa msukuma japo tulikuwa kwenye hali icyo shwari pia hakutakiwa kujiamni kivile na kukaa mahali mradi mahali cjui alihic kutokana na tofauti tulizonazo nicnge minda? cjui kwa kweli, ile kitu iliniwekea kitu kama kidonda kinapona taratibu cwezi kukilazimisha kipone, mpaka sasa cjui atafanya nn arudishe hali yangu ya awali, kweli cjui, amekuwa my best frnd na kijitahidi kwa kila hali nirudie hali ya mwanzo kunifanyia hiki na kile but bado kidonda hakijapona kivile, kwa kweli cjui anifanyaje japo mwenyewe anaona maendeleo sio mabaya lakini ukweli ninao mwenyewe.
 
nyamayao bwana.......hivi huweziirudia tena? maana kama nakuona!!

ile hata mie mwenyewe nikiikumbuka nakufa mbavu..hahahah mbaya zaidi yule mwanamke inaonekana alikuwa hanijui, bac alivyoona jamaa anachanja mbuga ndio akazinduka na yeye kutimua but hata angebaki nicngemfanya lolote kabisa, cna muda nae nina muda na jamaa....hhahaha ile kuirudia ni ngumu aisee mpaka kitendo kitokee tena...hahaha[/QUOTE]

Hahahaha nyamayao nimecheka utadhani nilikuona hiyo siku lol, yaani sipati picha mtu unavyotimua mabio baada ya kufumaniwa mwe!
 
Mkuu Mbu! hii thread naipa title ya thread ya wiki kutokana na ujazo wake.natamani ningeshiriki vyema huu mjadala ila bahati mbaya jirani yangu kagombana na meneja wa tanesco hivyo mpaka leo lile tangazo kuwa mgao umeisha halituhusu.
nitarudi baadae...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu......laiti mngejua ni jinc gani mnavyoharibu nyumba zenu na hao mahawara zenu bac mcngekuwa mnayafanya, na kama mnafanya hakikisha mnafanya kwa ucri mkubwa sana sana tucjue, kwa msukuma japo tulikuwa kwenye hali icyo shwari pia hakutakiwa kujiamni kivile na kukaa mahali mradi mahali cjui alihic kutokana na tofauti tulizonazo nicnge minda? cjui kwa kweli, ile kitu iliniwekea kitu kama kidonda kinapona taratibu cwezi kukilazimisha kipone, mpaka sasa cjui atafanya nn arudishe hali yangu ya awali, kweli cjui, amekuwa my best frnd na kijitahidi kwa kila hali nirudie hali ya mwanzo kunifanyia hiki na kile but bado kidonda hakijapona kivile, kwa kweli cjui anifanyaje japo mwenyewe anaona maendeleo sio mabaya lakini ukweli ninao mwenyewe.

Mamito mi nimechunguza chunguza na kusikiliza stori za watu wengi wengi tu. Yaani katika kitu ambacho wanaume wengi hawawezi acha basi ni kuwa na mahawara. Ni wachache sana ambao hawana so ni bora usimhesabie mumeo kwa hao wachache muweke katika kundi la hao wasioweza acha ili uwe na amani.

Cha kuomba ni uheshimiwe tu ila ukianza kuweka mavidonda moyoni kisa ulimfumania mumeo mbona utajakufa siku si zako. Kwani hapo alipo anakubembeleza lakini akipata muda anachepuka tena anaenda kujikumbushia.
 
Hahahaha nyamayao nimecheka utadhani nilikuona hiyo siku lol, yaani sipati picha mtu unavyotimua mabio baada ya kufumaniwa mwe![/QUOTE]

hahahaha wacha kabisa jamani, niliambulia vumbi, unajua nn Maty nashukuru lakini alivyotimua, ile nilikuwa naharibu kabisa mpaka ndugu zake wangemwekea kikao cha kutonirudia tena, bado nilikuwa nina mahacra yangu mambo home hayapo vizuri badala tushirikiane kuwayeka sawa yeye anakimbilia hawara, ...hahahahh yule dada alikuwa amevaa high heels naona ile kimbia alidhani amevaa flat...hahahah
 
Nimeipenda na ni ushauri mzuri sana tena sana hongera mkuu kwa thread yenye akili,ni vizuri tukatuma threads za kujenga kama hizi ingekuwa poa sana!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nimerudi tena....hili sredi bana....khaa!

Kwa sisi ambao kipato na bajeti zetu zinaishia baa........... wake zetu wana kazi.

Ngoja nikamwamshe klorokwini.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
thanx mbuuu

nimesoma comment za watu nimejua kumbe ni kaugonjwa ka wanawake wengi
Yani zamani nilikuwa nikiambiwa mama likizo hii twende kuleeee nimefanya booking,
yaani ntataka kujua room kiasi gani etc..nikiona mapesa mengi mhhh
basi naanza kutafuta sababu ya kutokwenda, ohh tufanye hivi kwanza, tununue hiki sijui hiki mara kile.
mwishowe hatuend tena na wala vile vitu havitanunuliwa nakwambia.....

Nikajifunza sasa, ikiwa akisema twende huku sina pingamizi tena najiandaa kweli kweli mpaka mwenyewe anashangaa
hata kama tutaspend fedha kiasi gani wala haihusu kabisa, yani ni muhimu sana na raha kwa kwenda mbele
mpaka unaweza nena kwa lugha lakin pia inasaidia sana kuishi kwa raha katika mahusiano.

jaman ni kitu kizuri sana kwa wenye ndoa na hata wachumba.

once again thank uuuuuuuuuuuuuu sana mbu.
 
Mamito mi nimechunguza chunguza na kusikiliza stori za watu wengi wengi tu. Yaani katika kitu ambacho wanaume wengi hawawezi acha basi ni kuwa na mahawara. Ni wachache sana ambao hawana so ni bora usimhesabie mumeo kwa hao wachache muweke katika kundi la hao wasioweza acha ili uwe na amani.

Cha kuomba ni uheshimiwe tu ila ukianza kuweka mavidonda moyoni kisa ulimfumania mumeo mbona utajakufa siku si zako. Kwani hapo alipo anakubembeleza lakini akipata muda anachepuka tena anaenda kujikumbushia.

amani ninayo sana sana tu sema imani/kumwamini tena kama mwanzo ndio ctaweza,unajua alifanya yale kwa kipindi kibaya Maty, tupo kwenye hali mbaya ya kiamani home na sababu ni yeye na familia yake then namkuta ndio cjui analiwazwa mwenzie nafikira kutatua matatizo jamni jamani na hiyo ndio ingechangia zaidi mie kuharibu mazima kama acngetimua.
 
Mbu......laiti mngejua ni jinc gani mnavyoharibu nyumba zenu na hao mahawara zenu bac mcngekuwa mnayafanya, na kama mnafanya hakikisha mnafanya kwa ucri mkubwa sana sana tucjue, kwa msukuma japo tulikuwa kwenye hali icyo shwari pia hakutakiwa kujiamni kivile na kukaa mahali mradi mahali cjui alihic kutokana na tofauti tulizonazo nicnge minda? cjui kwa kweli, ile kitu iliniwekea kitu kama kidonda kinapona taratibu cwezi kukilazimisha kipone, mpaka sasa cjui atafanya nn arudishe hali yangu ya awali, kweli cjui, amekuwa my best frnd na kijitahidi kwa kila hali nirudie hali ya mwanzo kunifanyia hiki na kile but bado kidonda hakijapona kivile, kwa kweli cjui anifanyaje japo mwenyewe anaona maendeleo sio mabaya lakini ukweli ninao mwenyewe.

Nyamayao, pole sana dada'ngu.

Anyway, Bro BaK aliwahi niswihi sana suala la kusamehe ili maisha yaendelee...yaani,
hata ukikosewa vipi wewe samehe tu. Ki ukweli, somo liliniingia kwani kuendelea na manung'uniko
ni sawa na kuweka nanga ya 'kwanini' kisha ukaijengea na cement na kuichomea na welding kabisaaa.

Move on bana, maisha yenyewe haya utaweza wapi mfuga kunguru? "Mkono usoweza ukata ubusu...!"
Furahieni (japo kwa shingo upande) maisha mafupi mliojaaliwa.

Na experiences za wenza ambao baada ya mmoja wao 'roho kuuacha mwili,' waliishia kulia na kusaga meno angalau wangepata masaa machache ya ku 'make up!'

Jitolee. Mfanyie Surprise shemeji, mnahitaji a break away form everything...watoto, kazi, majirani...nakushauri uende nae Kirawira tented Camp...

exclusive-mobile-camp-tent.jpg
nasikia-luxury-tented-camp-sitting.jpg
seronera-wildlife-lodge-view.png

...huko hata Mobile phone Network ni shughuli kupata. Mkirudi toka huko mtakuwa refreshed kama mlivyokuwa enzi zile za 'I LOVE YOU TIL DEATH DO US APART!'
 
Mamito mi nimechunguza chunguza na kusikiliza stori za watu wengi wengi tu. Yaani katika kitu ambacho wanaume wengi hawawezi acha basi ni kuwa na mahawara. Ni wachache sana ambao hawana so ni bora usimhesabie mumeo kwa hao wachache muweke katika kundi la hao wasioweza acha ili uwe na amani.

Cha kuomba ni uheshimiwe tu ila ukianza kuweka mavidonda moyoni kisa ulimfumania mumeo mbona utajakufa siku si zako. Kwani hapo alipo anakubembeleza lakini akipata muda anachepuka tena anaenda kujikumbushia.

...Big Up Maty. Yaani kwenye hiyo red, ni hatua ya kwanza kujikwamua kutoka kwenye mawazo machafu.
Wale wasemao Wanaume ndivyo walivyo, wanatukosea sana jamani. No wonder wengine hujionea "aaaarrghh, kama ndivyo unavyonifikiria na iwe hivyo!"

Mbu.............nimejifunza kutokana na makosa loh........si mpole tena namwonea huruma huyo muhusika ajae!!

LOL....Mwj1 ....ushasahau ile thread iliyoongelea u-marufuku wa kubeba 'excess baggages' kwenye relationship mpya? ...Unapoingia relationship mpya na machungu ya zamani unakuwa humtendei haki mwenzio bana...

'aliyekutwisha ndiye aliyepaswa kukutua!'... hapa ni new beginning tu! Mbu believes past relationships shapes the future. Haina haja kuingia kwenye New Relationship na donge rohoni.

Lessons (previously learnt,) baadhi hazipaswi kusahaulika bali zichukuliwe as a learning curve.
Hiyo ndio Maturity. Duuhhh...I can't wait to make a difference in someone's life.
Mapenzi matamu nyie...Ohooo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom