Kujipendelea Muhimu

coco_beach_Spread.JPG
Laga.JPG
hahahahahahahaha! Mbu hujatulia wewe. Umenichekesha sana. Lol.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Duh kumetulia sana, hata watoto mkibahatika kuwatengenezea sehem zilizotulia hivyo wanakua na hakili vibaya sana lol.
 
hayo ndo mambo yenyewe babu we!cpat pcha cku na mi ntakapotolewa...that's hw we strengthen our relationships...datc hw we mek our loved ones happy n end up foling in love 2 us more...tc da way dat meks da one u luv go on luvng u more as days pac by,she/he wuld want to tok to u...coz she/he sees love in ur actions...he/she will luk in2 ur eyes n c the u Lav 4 him/her...then she/he will search his/her soul n heart n find dat u are da only one lying in his/her heart....AND U TWO ARE GONNA BE LIFE-PARTNERS!....
 
...Olduvai Gorge, The Cradle of Mankind, -Zinjanthropus- footprint.
Kuna Umuhimu wa nyiye kukumbukia footprints za maisha yenu pia!

Olduvai%20Gorge%20in%20Ngorongoro.jpg

...moja ya vibao vinavyoashiria wapi uliposimama... Mind the altutude from Sea level!
This is the largest intact volcanic caldera in the world. Some scientists maintain that before it collapsed, it would have stood higher than Mount Kilimanjaro

Nov2007601.jpg

...poleni jamani, nimejiskia ku share nanyi this piece of information. Hizi tour wengine kuna mengine ya kushangaa kuliko rejuvenating session aka 'semina elekezi' na mama chanja...
 
...Olduvai Gorge, The Cradle of Mankind, -Zinjanthropus- footprint.
Kuna Umuhimu wa nyiye kukumbukia footprints za maisha yenu pia!

Olduvai%20Gorge%20in%20Ngorongoro.jpg

...moja ya vibao vinavyoashiria wapi uliposimama... Mind the altutude from Sea level!

Nov2007601.jpg

...poleni jamani, nimejiskia ku share nanyi this piece of information. Hizi tour wengine kuna mengine ya kushangaa kuliko rejuvenating session aka 'semina elekezi' na mama chanja...

Mbu..................semina elekezi ndo nini eh? msamihati mpya kwangu huu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu..................semina elekezi ndo nini eh? msamihati mpya kwangu huu

LOL, ni sawa na 'Orientation' seminar ewe Mwj1.
kupunguziana (Reducing Anxieties!) wahka , kuonyesha uthibitisho unajali, ni wako peke yako. nk
Pia kupanga mikakati mipya, ...

Kuna mtu aliwahi kuuliza eti kwenye honeymoon maharusi wanazungumza nini,...
Mnapokuwa wawili faragha, inakuwa ni wakati mzuri kujuana zaidi, au kujuana 'tena' na mama watoto...
 
Aksante , basi mwenzio nlishaenda Dodomaaaaaaaaaa zile semina za wabunge ndo nkawa sielewi, kumbe hata kwenye mahusiano zipo eh?!

Hilo la honeymoon kweli hata mie nlishajiuliza nikakosa jibu..............
 
images
...guys and dolls wa jukwaa hili la mmu,....nipo mujini, ndani ya jiji la mgao wa umeme na foleni, vumbi, joto kiasi, rushwa na shida nyingine mbali mbali...ila kujipendelea muhimu,...watu wanatabasamu zao nyusoni, vikao havikauki mkojo wa shweitani, na sie maustaadh mialiko ya futari hapa na pale alhamdulillah...

...nikimaliza likizo, nitawaletea mapicha ya bongo na kash-kash zake, jinsi mbu alivyojipendelea...
kila la heri na eid njema kwa nyote.
 
...jamani mara moja moja kujipendelea muhimu. Hizi Romantic Retreats zinasaidia kupunguza usongo wa mawazo kwa wanandoa. Hakuna cha kusema '...Ooh, mambo ya wazungu hayo!'...Picha zote hizi ni Sehemu zilizopo Tanzania.

images

images

Kwa wale wenzangu na mie ambao tukishanuniwa ndio 'hakieleweki mpaka anunuliwe khanga,' si vibaya tukajitutumua na kum-surprise mother house na bonge la week end 'Romantic' retreats kama hizi angalau mara moja kwa mwaka jamani...

566655.jpg

...au sio wazee wenzangu? ...mamsapu wetu deserve to be treated like Queens.

luxury-safari-accommodation-tanzania.jpg

Haipendezi eti mkishaoana , outings zinabakia zile mkihudhuria harusi (tena kwakuwa mlichangishwa!,) au Family Day za makazini!...

Na nyie kina dada na kina mama, msizubae jamani. Nyumba ndogo wanawapiga bao, Ohoo...shauri zenu!

tangu nilipoanzisha thrtead hii, ni wangapi miongoni mwenu mmelifanyia kazi hili?
tusaidiane feedback wajemeni...

kuna retreats mpya nitawawekea soon...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ungeambatanisha pamoja na thread hii na ruzuku za utekelezaji mkuu..japo feedback ingekua mwingine niliona nilipe kwanza ada ya watoto,mwingine nyumba alikua inakaribia kuuzwa ruzuku imenisave mkuu nxt time nitawazia kwenda hayo maeneo nk
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Si vibaya kuendeleza majadiliano ya uzi huu labda kunaweza kukawepo na update.

Last edited by a moderator:
tangu nilipoanzisha thrtead hii, ni wangapi miongoni mwenu mmelifanyia kazi hili?
tusaidiane feedback wajemeni...

kuna retreats mpya nitawawekea soon...

Disney's Animal Kingdom Villas - Kidani Village | Walt Disney World Resort

Kaka Mbu kama hujawahi kupita huku basi penye majaliwa jitahidi ufanye hivyo. Kujipendelea siyo lazima kufanyike ndani ya Bara letu tu. Halafu hapa Kidani wana misosi mizuri sana ni African theme park wameamua kutumia majina ya kiswahili kama Kidani, johari, Uwanja, Maji n.k. nikadhani na Wafanyakazi watakuwa wabongo lakini si hivyo wafanyakazi ni kutoka South Africa, Namibia, Botswana na Zimbawe. Ukijaliwa kupita huku chakula cha mchana na usiku usile popote pengine ila hapa kidani au Bongos cafe ya yule Gloria Estefan.

mie naenda retreat daraja la manzese, ila tatizo napo siku hizi wanatoza pesa.

Ila hata huko naenda, ila sasa nyumba za nyasi ndo nimekulia hazinipi mzuka, nataka gorofa kama pale mkapa tawa.
 
Si vibaya kuendeleza majadiliano ya uzi huu labda kunaweza kukawepo na update.

....hahaha, BAK, unataka updates sio? Haya....nitakuletea picha za juzi "tulipokuwa....."
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom