kujifunza sanaa ya mapigano

kujifunza sanaa ya mapigano

Mi Pia naulizia ile ya Maninja ambayo ukiomba dua tu, basi unageuka vingine ukiwa na maguo meusi panga mgongoni (sijui vinatoka wapi),
Ntapata wapi chuo cha hii kitu (U-Ninja)??
 
Siku hizi kwenye nyumba za ibada mafunzo hutolewa, tena kwa watoto wadogo sana. Sijui, kama Mungu ni muweza wa yote kwanini tujihami kwa karate? Je ni nabii gani aliyekuwa karateka?
wapi wanafundisha hii sanaa iwe maeneo ya kinondoni, ila si ngumi bali mapigano ya shaolin, karate, wushu, kung fu, taekwondo.
 
Back
Top Bottom