Usipojua kiingereza ndani ya miezi mitatu unarudishiwa pesa yako
Hee si ulisema mwenyewe,leo unamkana??
Usipojua kiingereza ndani ya miezi mitatu unarudishiwa pesa yako
hahahaaaa
watu wabayaaaaa humu
nani kasema.
Huyo jamaa ni muhuni sana,alafu anakula jani hatari,niliwahi kupata safari ya kwenda Serbia kikazi mwaka 2006 nikaamua nitafute english coz ili kujipiga msasa,bcoz jamaa alikua jilani na kitaani kwangu(airport) nikaamua kumtokea,cha kushangaa nilipofika ofisini nilipokelewa na teja.Yani ata form za kujiunga na chuo hawakua nazo na sikumkuta mwanafunzi ata1 na ada was 300,000 kwa 45days.Nikaona ni usanii mtupu nikatimka.
Ahaaa!!kama anakula jani safi sana maana amejua ugonjwa wa wabongo wengi ni kingereza!