Kujiendeleza kama Quantity Surveyor

Anfibix

Senior Member
Dec 1, 2018
190
308
Habari wakuu. Kuna mdogo wangu kamaliza chuo mwaka huu, ananiomba ushauri mimi dada yake kuhusu mambo ya quantity surveying, alisoma building economics ardhi. Sasa mimi hata sielewi cha kumshauri, aanzie wapi na aishie wapi aweze kujiendeleza career wise. Kwa wale waliosoma hii course au wanaoijua please naombeni ushauri wenu ili ajue wapi pa kuanzia maana kama ni connection hana, mimi mwenyewe nilisoma finance hayo mambo ya ujenzi sielewii. Asanteni
 
Hapo Kuna kitu sijakuelewa kidogo.
Alisoma building economics kwa level gani?
Na anataka kusoma quantity survey kwa level gani? Experience yake ipoje kwenye game?Ukiweza kunijibu hayo maswali nitaweza kukupa ushauri.
 
Back
Top Bottom