Kujichora tattoo imekuwa chanzo cha kuachwa dada yangu, ni kama ana bahati mbaya

Dada zetu ni shida sana ujifanya wajanja sana kipindi cha ujana wanakula maisha, wao ndio wao ukiwaambia kitu kuwashauri wanakuona mshamba, basi wote wenye tattoo dada zangu pambaneni na hali zenu hakuna namna hapo.
 
N kuiga tu na kupenda kujichora ,ila c wanawake wt waliochora tattoo n malayaa

Tattoo aifanyi mwanamke kuwa malayaa .Bali umalaya n tabia ya mtu tu aliyonayo cku zote..
Tattoo haifanyi mwanamke kuwa malaya ila umalaya unamfanya mwanamke kuwa na tattoo.
 
Dada zetu ni shida sana ujifanya wajanja sana kipindi cha ujana wanakula maisha, wao ndio wao ukiwaambia kitu kuwashauri wanakuona mshamba, basi wote wenye tattoo dada zangu pambaneni na hali zenu hakuna namna hapo.
Ujanja mwingi mwisho hua ushamba
 
Kuna jamaa aliiga ujinga akajichora tattoo begani.
Sku amepata nafasi ya kujiunga na Jeshi akatakiwa kwenda kufanyiwa ukaguzi, mwamba alichhofanya ilibidi ajibige pasi pale penye tattoo, akaenda na kukaguliwa akiwa na kidonda cha moto.
Mpaka sasa yupo Jeshini
Hii ni chai ya moto sanaaa ,ngoja ipoe
 
Kinachowakimbiza sio tattoo, Bali wanawaza uliwezaje kujiachia Kwa mchoraji akuchore, tena wachora tattoo wengi ni wanaume....mwanaume mwenye akili timamu hawezi kuoa mwanamke anayeweza kumuachia mwanaume mwingine kiuno achore, huku katulia tuli, anaambiwa geuka anageuka, tulia anatulia....
Atafute mwanaume mwenye tattoo waoane.
Kawaida sana
 
Back
Top Bottom