Kujichora tattoo imekuwa chanzo cha kuachwa dada yangu, ni kama ana bahati mbaya

N kuiga tu na kupenda kujichora ,ila c wanawake wt waliochora tattoo n malayaa

Tattoo aifanyi mwanamke kuwa malayaa .Bali umalaya n tabia ya mtu tu aliyonayo cku zote..
A cha kujitetea na hayo ndio maneno yenu wanawake,mwanamke unautoa wapi ujasiri wa kuruhusu mwanaume ambaye sio mumeo akushike nyeti zako,azichore,hio inaonesha hata kama huna nia mbaya,Ila unaweza kua tayar kwa lolote
 
Hua inasikitisha sana kumkuta kijana mdogo kajichora tatooo katika maisha haya......

Awe WA kike au kiume ukishachora tattoo Kuna mambo yameshakupita Kwa maana Rahisi hata uwezekano WA kuajiriwa ni mdogo sanaa endapo tu itaonekana.

Tattoo huambatana na kutoaminiwa na jamiii.
 
Naomba uandike hiki kitu kaka kwani mimi kinaniumiza sana, nina miaka 35 sijaolewa nahisi kila mwanaume ananiona Malaya.

Iko hivi, kipindi cha ujana nikiwa chuo kuna mwanaume nilikua naye, kama unavyojua ujana tukachorana tattoo, kiunoni na nyingine kwenye paja juu kabisa.

Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaiangaia mtaani tukaachana, hivyo katika kuifuta ile tattoo nikalazimika kuchora ua kiunoni hivyo ikawa kubwa na hii ya kwenye paja nilichora picha fulani ya ndege hivyo ikawa imepanda juu kabisa karibu na sehemu za siri.

Kaka hiko kitu kimekuwa kikinitesa sana, kila nikiingia kwenye mahusiano nikishakutana na mwanaume kimwili tu unamuona anabadilika. Napata wanaume kweli lakini wanaona kama vile mimi ni Malaya, yaani siwaelewi kabisa.

Kuna wakati niliamua kutokutana kimwili kabisa na mwanaume mpaka ndoa. Kweli kuna kijana mmoja yeye ni mlokole alinikubalia na kila kitu kilikaa vizuri tulikaa mwaka bila kukutana kimwili. Akaja kwetu na kunipeleka kwao.

Ila kuna siku sijui ilikuaje akaona picha yangu moja ya zamani ambayo nilipost Facebook. Kaka ni ya zamani sana kiasi kwamba hata siijui kwani hata Facebook situmii na hiyo akaunti sina hata password yake. Tulikua tunaogelea na marafiki zangu sasa nilivaa nguo za kuogelea hivyo zile Tattoo zikaonekana.

Akaniuliza, "Huyu ni nani?" Nililazimika kumuambia ukweli kwani nilijua nishaharibu. Tangu hapo alibadilika na kusimamisha kila kitu.

Najua ni makosa Kaka niliyofanya na sina namna ya kurekebisha. Lakini naomba uandike kuwa si kila mwanaume anajichora tattoo ni Malaya. Nimechoka Kaka kuachwa kwa vitu vidogo. Waambie wanaume waache ushamba.

Vipi Mdau Una Maoni Gani Kuhusu Jambo Hili....!? View attachment 2840603
Sijaona upuuzi wote nimesoma hadi mstari wapili nahitimisha kwa kusema " dada yako ni zaidi ya malaya"
 
Aisee! Na demu ana tatto ni mtu amaependa viwanja vibaya sana.. wademu wenye tatto n kisanga.

Mim huwez kunikuta nipo na mshkaji aliye jichora tatto,

Ukiwafuatilia hata wanaume walio jichora tatto ukichunguza matende yao yanakuwa siyo ya kawaida
 
Naomba uandike hiki kitu kaka kwani mimi kinaniumiza sana, nina miaka 35 sijaolewa nahisi kila mwanaume ananiona Malaya.

Iko hivi, kipindi cha ujana nikiwa chuo kuna mwanaume nilikua naye, kama unavyojua ujana tukachorana tattoo, kiunoni na nyingine kwenye paja juu kabisa.

Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaiangaia mtaani tukaachana, hivyo katika kuifuta ile tattoo nikalazimika kuchora ua kiunoni hivyo ikawa kubwa na hii ya kwenye paja nilichora picha fulani ya ndege hivyo ikawa imepanda juu kabisa karibu na sehemu za siri.

Kaka hiko kitu kimekuwa kikinitesa sana, kila nikiingia kwenye mahusiano nikishakutana na mwanaume kimwili tu unamuona anabadilika. Napata wanaume kweli lakini wanaona kama vile mimi ni Malaya, yaani siwaelewi kabisa.

Kuna wakati niliamua kutokutana kimwili kabisa na mwanaume mpaka ndoa. Kweli kuna kijana mmoja yeye ni mlokole alinikubalia na kila kitu kilikaa vizuri tulikaa mwaka bila kukutana kimwili. Akaja kwetu na kunipeleka kwao.

Ila kuna siku sijui ilikuaje akaona picha yangu moja ya zamani ambayo nilipost Facebook. Kaka ni ya zamani sana kiasi kwamba hata siijui kwani hata Facebook situmii na hiyo akaunti sina hata password yake. Tulikua tunaogelea na marafiki zangu sasa nilivaa nguo za kuogelea hivyo zile Tattoo zikaonekana.

Akaniuliza, "Huyu ni nani?" Nililazimika kumuambia ukweli kwani nilijua nishaharibu. Tangu hapo alibadilika na kusimamisha kila kitu.

Najua ni makosa Kaka niliyofanya na sina namna ya kurekebisha. Lakini naomba uandike kuwa si kila mwanaume anajichora tattoo ni Malaya. Nimechoka Kaka kuachwa kwa vitu vidogo. Waambie wanaume waache ushamba.

Vipi Mdau Una Maoni Gani Kuhusu Jambo Hili....!? View attachment 2840603
Naomba namba zake nimuoe hivohivo
 
Mwanamke mwenye tatizo hana tofauti na singo Maza.
 
Mbona wake zenu walitengeneza historia ya kuliwaliwa kabla ya ndoa na mnao na mnawaita babe, wengine kote walikuwa tayari, acheni unafiki wakuu, mmeoa miozo leo eti mnamkomalia mtoto wa watu malaya kisa tattoo!! Ama kwel nyani haoni kundule.
Mkuu unachoraje tatoo ya nyoka inayoelekea kwenye maamshine yan alokuchora aliona papa yako kama unaweza kumwonyesha papa yako mchora tatoo ambae hata haili hiyo papa unaweza kuwapa papa watu wangapi ? Sijauliza kwa ubaya lakini
 
Back
Top Bottom