Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,093
- 43,281
Kuna wakati mtu anajikuta anajibizana vibaya na wakwe kwa sababu mbalimbali. Wanaweza kuwa ni wazazi wa mwenza wako au shemeji na wifi zako. Jamii zetu zinatilia mkazo sana heshima kwa wakwe lakini wakati mwingine vikizidi ni mno. Wanaweza kuleta mawazo ya jinsi ya kusimamia nyumba yako ambayo kwa kweli yanapakana na matusi....umeweza kusurvive au ndoa ikaletwa matatani sababu ya wakwe?
Unashauri wenye matatizo na wakwe wafanye nini?
Unashauri wenye matatizo na wakwe wafanye nini?