Hata wewe ulipokuwa CHADEMA ulitukana na kufanya vurugu sana ili upate umaarufu
![]()
duh jamaa ahalija wahi kucheKa nakufurahi tena liko na hasira kali kweli sasa ni matusi tu ndio amehtmu
Hata wewe ulipokuwa CHADEMA ulitukana na kufanya vurugu sana ili upate umaarufu
![]()
Mikutano yangu yote ilirekodiwa na videos ziko youtubeNilikuwepo hapa na nilikusikia ukimtukana sana Kikwete.....hata ukaiongelea ZE UTAMU....Bisha?
Mikutano yangu yote ilirekodiwa na videos ziko youtube
Mimi sina mdomo mchafu ndio maana nikaondoka. Au unazania mikutano ya
huku ni sawa na ya Ugna ltd?
Huku wewe usingefika kwa sababu mabasi ya Dar express hayafiki
Wasipotukana au kufanya vurugu hawawezi kupata umaarufu
Huku wewe usingefika kwa sababu mabasi ya Dar express hayafiki
Mikutano yangu yote ilirekodiwa na videos ziko youtube
Mimi sina mdomo mchafu ndio maana nikaondoka. Au unazania mikutano ya huku ni sawa na ya Ugna ltd?
Huku wewe usingefika kwa sababu mabasi ya Dar express hayafiki
Hapa tz kuna clinic ya kuchuja kinyesi na kubakisha ubongo safi! ungekuja mkuu kupata huduma,maana naona kuna shida upstair ,matibabu ni bure tu!Wasipotukana au kufanya vurugu hawawezi kupata umaarufu
Tarehe 4 Feb 2014 tulishuhudia Watz kitendo cha Mh. Mbowe akimshambulia Rais tena akidai et Mkuu wa nchi analeta utani kwenye mambo mazito!, Mtanzania yeyote mwenye akili timamu atakubaliana na mimi kuwa, Rais alichosema ni kuwaasa wanasiasa kutumia vizuri majukwaa kwa kuwaeleza Watanzania masuala yenye tija na mshikamano kwa Taifa. Akitoa mfano alieleza kuwa Mbowe alizungumza jukwaani na kudai kuwa endapo Serikali tatu hazitakubaliwa na watz, yeye na chama chake na wafuasi watapiga ngumi na kuitisha maandamano nchi nzima! , Ndipo Rais akasema mambo ya watu wengi hayaamuriwi kwa ngumi. Pia Mheshimiwa Rais aliwahi kumkemea Tundu Lisu kuwa asitumie kutokujua kwake sheria kuwadanganya viongozi wake na kwa bahati mbaya na wao humwamini! Jambo hili halikuchukua muda Lisu akaibika mahakamani pale Jaji Utamwa alipomkosoa kwa kushindwa kuielewa katiba ndogo ya kurasa zisifika hata 100. MKUU WA NCHI SIYO WA KUBEZA, JIHESHIMUNI CDM (CHAGADEMA).
Wasipotukana au kufanya vurugu hawawezi kupata umaarufu