Kujibizana na Mh. Rais Jukwaani ni ukomavu wa akisiasa?

Watu wanamkosoa hadi MUNGU kwa kujibabua ngozi ili wawe weupe; wengine wanalazimisha nywele ziwe ndefu.!
Na haya yote yanatokea hadharani tena bila aibu!

Seuze kumkosoa hadharani Rais ambaye ameshindwa kuwa Rais! Kwani rais wa nchi ni zaidi ya MUNGU asikosolewe!?
 
Sijawahi kutukana wala kufanya vurugu

Viongozi wako hawana tofauti na huyu jamaa
1661185_10202439639726613_1221984965_n.jpg

Mambo ya CCM hayo: Akili ndogo kuongoza akili kubwa. Huyu lazima atakuwa gamba anayesubiria NDOO ijae!!!!!
Ndani ya ubongo wake wa ki-CCM anawaza: Sijui ndoo itajaa saa ngapi........!!!

Kazi kwelikweli
 
We kweli respect wa boda,una ubishi wa kishabiki ambao hata haja zako utadhani umetoka makaburini
Rais ni mtu kama wewe?
Anajibiwa sehemu yeyote ile?hata chooni?
Una akili kweli wewe?
Na wewe ndio aina ya wanachama wa CHADEMA typically,mnaochukulia mambo rahisi rahisi tu,na kuona kila kitu kinawezekana kihuni huni tu!!!!
Mtaendelea kupiga kelele,ila wenye akili tunawaona kama misukule,na mitaji ya Mbowe mwenye Miradi lukuki,mkiwemo na nyie.
 
We kweli respect wa boda,una ubishi wa kishabiki ambao hata haja zako utadhani umetoka makaburini
Rais ni mtu kama wewe?
Anajibiwa sehemu yeyote
ile?hata chooni?
Una akili kweli wewe?
Na wewe ndio aina ya wanachama wa CHADEMA typically,mnaochukulia mambo rahisi rahisi tu,na kuona kila kitu kinawezekana kihuni huni tu!!!!
Mtaendelea kupiga kelele,ila wenye akili tunawaona kama misukule,na mitaji ya Mbowe mwenye Miradi lukuki,mkiwemo na nyie.

Hiki kweli ni kizazi cha nyoka! Waambiwe nini ili wajitambue!!
 
Sijawahi kutukana wala kufanya vurugu

Viongozi wako hawana tofauti na huyu jamaa
1661185_10202439639726613_1221984965_n.jpg

Chris Lukosi,

  • Do you think, in your tiny,shallow and poor mind that to challenge a Weak President like Kiwete on stage is an offence or criminal???? Surely not.
  • Any Good leader will always accept challenges on stage. A good leader will always take a challenge as a step ladder to spear ahead!!!
  • Currently we don't have any more Good leaders from the ruling party CCM after Nyerere(RIP)!
  • The current CCM is just full of MIZIGOs,FISADIs,JANGILIs,MIZUNGU ya UNGAs n.k.
  • Therefore expect NBR=No Big Results and NOT the BRN= calling it BIG RESULTS NOW!!!!There won't be one,never under CCM!!
 
Tarehe 4 Feb 2014 tulishuhudia Watz kitendo cha Mh. Mbowe akimshambulia Rais tena akidai et Mkuu wa nchi analeta utani kwenye mambo mazito!, Mtanzania yeyote mwenye akili timamu atakubaliana na mimi kuwa, Rais alichosema ni kuwaasa wanasiasa kutumia vizuri majukwaa kwa kuwaeleza Watanzania masuala yenye tija na mshikamano kwa Taifa. Akitoa mfano alieleza kuwa Mbowe alizungumza jukwaani na kudai kuwa endapo Serikali tatu hazitakubaliwa na watz, yeye na chama chake na wafuasi watapiga ngumi na kuitisha maandamano nchi nzima! , Ndipo Rais akasema mambo ya watu wengi hayaamuriwi kwa ngumi. Pia Mheshimiwa Rais aliwahi kumkemea Tundu Lisu kuwa asitumie kutokujua kwake sheria kuwadanganya viongozi wake na kwa bahati mbaya na wao humwamini! Jambo hili halikuchukua muda Lisu akaibika mahakamani pale Jaji Utamwa alipomkosoa kwa kushindwa kuielewa katiba ndogo ya kurasa zisifika hata 100. MKUU WA NCHI SIYO WA KUBEZA, JIHESHIMUNI CDM (CHAGADEMA).

kwa wewe juha unaye muona rais kama mungu unaona ajabu lakin wenzio raisi ni mtu wa kawaida sana na ndio mana mby alipopolewa mawe.
 
Tarehe 4 Feb 2014 tulishuhudia Watz kitendo cha Mh. Mbowe akimshambulia Rais tena akidai et Mkuu wa nchi analeta utani kwenye mambo mazito!, Mtanzania yeyote mwenye akili timamu atakubaliana na mimi kuwa, Rais alichosema ni kuwaasa wanasiasa kutumia vizuri majukwaa kwa kuwaeleza Watanzania masuala yenye tija na mshikamano kwa Taifa. Akitoa mfano alieleza kuwa Mbowe alizungumza jukwaani na kudai kuwa endapo Serikali tatu hazitakubaliwa na watz, yeye na chama chake na wafuasi watapiga ngumi na kuitisha maandamano nchi nzima! , Ndipo Rais akasema mambo ya watu wengi hayaamuriwi kwa ngumi. Pia Mheshimiwa Rais aliwahi kumkemea Tundu Lisu kuwa asitumie kutokujua kwake sheria kuwadanganya viongozi wake na kwa bahati mbaya na wao humwamini! Jambo hili halikuchukua muda Lisu akaibika mahakamani pale Jaji Utamwa alipomkosoa kwa kushindwa kuielewa katiba ndogo ya kurasa zisifika hata 100. MKUU WA NCHI SIYO WA KUBEZA, JIHESHIMUNI CDM (CHAGADEMA).

Wewe bado kinda sana katika nyanja za siasa kubwa kama hizi! tulia ukikua utaelewa mambo haya!! BS; kwa mfano kwa akili yako hiyo ni nani kati ya Kikwete na Lissu asiyejua sheria?! Mipasho unaita uzamivu wa sheria? unacheza wewe
 
Hata JK naye aliongelea jukwaani sasa ulitaka akajibiwe wapi? Rais alitakiwa amwite wajadiliane huko faragha kama wenyeviti wa vyama vya siasa.

Tarehe 4 Feb 2014 tulishuhudia Watz kitendo cha Mh. Mbowe akimshambulia Rais tena akidai et Mkuu wa nchi analeta utani kwenye mambo mazito!, Mtanzania yeyote mwenye akili timamu atakubaliana na mimi kuwa, Rais alichosema ni kuwaasa wanasiasa kutumia vizuri majukwaa kwa kuwaeleza Watanzania masuala yenye tija na mshikamano kwa Taifa. Akitoa mfano alieleza kuwa Mbowe alizungumza jukwaani na kudai kuwa endapo Serikali tatu hazitakubaliwa na watz, yeye na chama chake na wafuasi watapiga ngumi na kuitisha maandamano nchi nzima! , Ndipo Rais akasema mambo ya watu wengi hayaamuriwi kwa ngumi. Pia Mheshimiwa Rais aliwahi kumkemea Tundu Lisu kuwa asitumie kutokujua kwake sheria kuwadanganya viongozi wake na kwa bahati mbaya na wao humwamini! Jambo hili halikuchukua muda Lisu akaibika mahakamani pale Jaji Utamwa alipomkosoa kwa kushindwa kuielewa katiba ndogo ya kurasa zisifika hata 100. MKUU WA NCHI SIYO WA KUBEZA, JIHESHIMUNI CDM (CHAGADEMA).
 
Naichukia chadema kutoka ndani ya moyo wangu yani imekaa kifujofujo tu lol... Lowasa gombea uraisi uchukue nchi 2015...yani wewe ndio mkombozi uliyebaki na busara yako.

Matapishi ya Lowasa unayokula yatakuumiza. Mafisadi wenzio, akiwamo JK, hawamtaki wewe unamkubatia. Eti unaichukua Chadema kutoka ndani!! Utajuta 2015 wakati CDM watakapochukua nchi badala ya Majizi/Mafisadi (ccm) wako.
 
Tarehe 4 Feb 2014 tulishuhudia Watz kitendo cha Mh. Mbowe akimshambulia Rais tena akidai et Mkuu wa nchi analeta utani kwenye mambo mazito!, Mtanzania yeyote mwenye akili timamu atakubaliana na mimi kuwa, Rais alichosema ni kuwaasa wanasiasa kutumia vizuri majukwaa kwa kuwaeleza Watanzania masuala yenye tija na mshikamano kwa Taifa. Akitoa mfano alieleza kuwa Mbowe alizungumza jukwaani na kudai kuwa endapo Serikali tatu hazitakubaliwa na watz, yeye na chama chake na wafuasi watapiga ngumi na kuitisha maandamano nchi nzima! , Ndipo Rais akasema mambo ya watu wengi hayaamuriwi kwa ngumi. Pia Mheshimiwa Rais aliwahi kumkemea Tundu Lisu kuwa asitumie kutokujua kwake sheria kuwadanganya viongozi wake na kwa bahati mbaya na wao humwamini! Jambo hili halikuchukua muda Lisu akaibika mahakamani pale Jaji Utamwa alipomkosoa kwa kushindwa kuielewa katiba ndogo ya kurasa zisifika hata 100. MKUU WA NCHI SIYO WA KUBEZA, JIHESHIMUNI CDM (CHAGADEMA).

Uliabza vizur sasa hiyo CHAGADEMA ndoo siyo kila muda nikuchafuana tu hv hiyo ccm wanaposema inawenyewe maanake unaijua???
 
Matapishi ya Lowasa unayokula yatakuumiza. Mafisadi wenzio, akiwamo JK, hawamtaki wewe unamkubatia. Eti unaichukua Chadema kutoka ndani!! Utajuta 2015 wakati CDM watakapochukua nchi badala ya Majizi/Mafisadi (ccm) wako.

labda hujamwelewa mkuu!! huyu ni mchochea kuni! Lowassa kwanza ccm baadaye.
 
makusudically, the laws in Tz allow you to be stupid, use that opportunity
 
Hata wewe ulipokuwa CHADEMA ulitukana na kufanya vurugu sana ili upate umaarufu

CHRISLUKOSI.jpeg

Loh, hii ilikuwa chawa mafunzoni au nini sasa? Mtu mzima unatakiwa utafakari unachokifanya na unakojiunga eti. Lo! picha kama hii ningeinunua kwa milioni tano ili yaishe.
 
Mtoa mada unaonesha hapakufai hapa labda facebook kwa watoto wenzako.
JK pale alikuwa Mwenyekiti wa CCM sio Rais na bahati mbaya hata yeye hujisahau au hajui kutofautisha wapi na lini aongee kama rais na wapi kama mwenyekiti wa chama.
Ndio maana alisema 'CCM msimamo.wetu ni serikali tatu" hakusema serikali hivyo kujibiwa jukwaani ni sahihi. Maana alimshambulia mwenyekiti mwenzake jukwaani pia.
 
Sijaona fact hapo lowasa ndio baba wa taifa ajayee:thumbup:
 
Back
Top Bottom