Kujibizana na Mh. Rais Jukwaani ni ukomavu wa akisiasa?

Makusudically

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
2,215
Reaction score
1,240
Tarehe 4 Feb 2014 tulishuhudia Watz kitendo cha Mh. Mbowe akimshambulia Rais tena akidai et Mkuu wa nchi analeta utani kwenye mambo mazito!, Mtanzania yeyote mwenye akili timamu atakubaliana na mimi kuwa, Rais alichosema ni kuwaasa wanasiasa kutumia vizuri majukwaa kwa kuwaeleza Watanzania masuala yenye tija na mshikamano kwa Taifa. Akitoa mfano alieleza kuwa Mbowe alizungumza jukwaani na kudai kuwa endapo Serikali tatu hazitakubaliwa na watz, yeye na chama chake na wafuasi watapiga ngumi na kuitisha maandamano nchi nzima! , Ndipo Rais akasema mambo ya watu wengi hayaamuriwi kwa ngumi. Pia Mheshimiwa Rais aliwahi kumkemea Tundu Lisu kuwa asitumie kutokujua kwake sheria kuwadanganya viongozi wake na kwa bahati mbaya na wao humwamini! Jambo hili halikuchukua muda Lisu akaibika mahakamani pale Jaji Utamwa alipomkosoa kwa kushindwa kuielewa katiba ndogo ya kurasa zisifika hata 100. MKUU WA NCHI SIYO WA KUBEZA, JIHESHIMUNI CDM (CHAGADEMA).
 
Rais wa kulalamika badala ya kuchukua maamuzi.
Kamchagua wa kulialia badala ya kuchukua maamuzi magumu.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Tarehe 4 Feb 2014 tulishuhudia Watz kitendo cha Mh. Mbowe akimshambulia Rais tena akidai et Mkuu wa nchi analeta utani kwenye mambo mazito!, Mtanzania yeyote mwenye akili timamu atakubaliana na mimi kuwa, Rais alichosema ni kuwaasa wanasiasa kutumia vizuri majukwaa kwa kuwaeleza Watanzania masuala yenye tija na mshikamano kwa Taifa. Akitoa mfano alieleza kuwa Mbowe alizungumza jukwaani na kudai kuwa endapo Serikali tatu hazitakubaliwa na watz, yeye na chama chake na wafuasi watapiga ngumi na kuitisha maandamano nchi nzima! , Ndipo Rais akasema mambo ya watu wengi hayaamuriwi kwa ngumi. Pia Mheshimiwa Rais aliwahi kumkemea Tundu Lisu kuwa asitumie kutokujua kwake sheria kuwadanganya viongozi wake na kwa bahati mbaya na wao humwamini! Jambo hili halikuchukua muda Lisu akaibika mahakamani pale Jaji Utamwa alipomkosoa kwa kushindwa kuielewa katiba ndogo ya kurasa zisifika hata 100. MKUU WA NCHI SIYO WA KUBEZA, JIHESHIMUNI CDM (CHAGADEMA).
Sasa huyo rais wako ametuona sisi wajinga wa kutupa story za kupanga viti,ku test spika ukumbi wa bunge dodoma?Badala ya kusema impact ya kutoboreshwa daftari la wapiga kura na serikali imepangaje juu ya uboreshwaji wake,suala la ajira kwa watanzania,mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali,elimu kuporomoka kwa kasi ya ajabu
 
Si mara zote anazungumziwa Rais bali mara nyingine ni kwa muktadha wa kumzungumzia mwenyekiti wa chama twawala!
 
Mizigo bhana! Mpaka sasa wanafikiri bado tuko enzi zile za "zidumu fikra za mwenyekiti wa chama kilichoshika hatamu"!
 
Bora anaemkosea Rais heshima jukwaani kuliko Rais anaetoa msamaha kwa mfungwa alieiba mabilioni ya EPA
 
Wasipotukana au kufanya vurugu hawawezi kupata umaarufu

Hata wewe ulipokuwa CHADEMA ulitukana na kufanya vurugu sana ili upate umaarufu

CHRISLUKOSI.jpeg
 
Tarehe 4 Feb 2014
tulishuhudia Watz kitendo cha Mh. Mbowe akimshambulia Rais tena akidai
et Mkuu wa nchi analeta utani kwenye mambo mazito!, Mtanzania yeyote
mwenye akili timamu atakubaliana na mimi kuwa, Rais alichosema ni
kuwaasa wanasiasa kutumia vizuri majukwaa kwa kuwaeleza Watanzania
masuala yenye tija na mshikamano kwa Taifa. Akitoa mfano alieleza kuwa
Mbowe alizungumza jukwaani na kudai kuwa endapo Serikali tatu
hazitakubaliwa na watz, yeye na chama chake na wafuasi watapiga ngumi na
kuitisha maandamano nchi nzima! , Ndipo Rais akasema mambo ya watu
wengi hayaamuriwi kwa ngumi. Pia Mheshimiwa Rais aliwahi kumkemea Tundu
Lisu kuwa asitumie kutokujua kwake sheria kuwadanganya viongozi wake na
kwa bahati mbaya na wao humwamini! Jambo hili halikuchukua muda Lisu
akaibika mahakamani pale Jaji Utamwa alipomkosoa kwa kushindwa kuielewa
katiba ndogo ya kurasa zisifika hata 100. MKUU WA NCHI SIYO WA KUBEZA,
JIHESHIMUNI CDM (CHAGADEMA).

We kisebengo kwanza tambua rais ni mtu kama wewe anamapungufu ya kibinadamu kama wewe. Halafu kuhusu swali lako rais anaweza kujibiwa sehemu yoyote ile iwe ni jukwaani chumbani chooni na sehemu nyingine maadam kwa kufanya hivyo huvunji sheria za nchi. Umeelewa?
 
Tarehe 4 Feb 2014 tulishuhudia Watz kitendo cha Mh. Mbowe akimshambulia Rais tena akidai et Mkuu wa nchi analeta utani kwenye mambo mazito!, Mtanzania yeyote mwenye akili timamu atakubaliana na mimi kuwa, Rais alichosema ni kuwaasa wanasiasa kutumia vizuri majukwaa kwa kuwaeleza Watanzania masuala yenye tija na mshikamano kwa Taifa. Akitoa mfano alieleza kuwa Mbowe alizungumza jukwaani na kudai kuwa endapo Serikali tatu hazitakubaliwa na watz, yeye na chama chake na wafuasi watapiga ngumi na kuitisha maandamano nchi nzima! , Ndipo Rais akasema mambo ya watu wengi hayaamuriwi kwa ngumi. Pia Mheshimiwa Rais aliwahi kumkemea Tundu Lisu kuwa asitumie kutokujua kwake sheria kuwadanganya viongozi wake na kwa bahati mbaya na wao humwamini! Jambo hili halikuchukua muda Lisu akaibika mahakamani pale Jaji Utamwa alipomkosoa kwa kushindwa kuielewa katiba ndogo ya kurasa zisifika hata 100. MKUU WA NCHI SIYO WA KUBEZA, JIHESHIMUNI CDM (CHAGADEMA).

unaleta hoja tujadili? au umevimbiwa pilau. what'd you mean chagadema.

sitashangaa nikisikia kuwa headline umeandikiwa.
 
Kwani mbowe bila kutumia kashifa na uongo hoja atatoa wapi.
 
Chadema kila mtu mropokaji kuanzia dr slaa mapaka bavicha nadhani sote tulisikia slaa anasema eti bomba la mafuta limejengwa kuelekea ulaya.
 
Raisi wa kupiga vijembe na muongo muchafua majina ya watu kwa kutumia majina ya watu mbona hakumkemea Kinana ,Nape na KIngunge walioapa nchi haitakalika bila serikali mbili Raisi ana matani ya kijinga wakati wote ana ride katika migongo ya watanzania kwa sababu kwa silka anaheshimu viongozi
 
Back
Top Bottom