Kujianika kwa Wanawake Nyerere Square!

Huwa wanakaa wanapaka rangi kucha, wanasubiri tym ya kwenda chako au laaziz club au whatever! Kwani wanakukalia au kukulalia wanapojianika?
 

labda ni reptiles wanaota jua, who knows?... Yote tuyaache huwa kuna chips tamu sana pale na ni center ya kupata wachumba na kama una rafiki Dom ukijianika pale chances za kuonana naye ni kubwa mno! Nami nikitokaga kwetu Ahamugongo, huwa najianika sana!
 
hata kwenye grocery vyakunywa(eg soda, bia) vinakuwa displayed ili wateja waone
 

wewe si ungewauliza? Au uliwaona kupitia runingani? Na je kama unawaona kila mida ya jioni hapo, na ww kwa nini unapitapita kila jioni hapo why?
 
Sasa nenda ebu nichukulie namba ya mmoja nitumie haraka sana. Mimi Niko Dar es Salaam nitakuja na ile basi ya jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…