Kujiangalia kwenye madirisha au milango ya vioo

Smartbeing

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
323
Reaction score
426
Mnaotumia baadhi ya majengo ya vioo vya maofisi ya watu kujiangalia na kujirekebisha vizuri mlivyovaa tambueni kuwa mnaonekana maana vioo vingi ni tinted. Hii kuona kuwa huwaoni walio ndani isikufanye udhani nao hawakuoni, tafuta kujua kabla hujajianika.

Unakuta mtu anajiremba katika dirisha la ofisi yako na baadae anajipiga selfie akidhani haonekani na mapozi yake kumbe daah. Take care
 
Kuna dirisha la benk flan hv pale kwenye round about yenye sanamu ya askari mwenye bunduki miaka mitano nyuma Ilkua kila asubuhi watu wengi tuliokuwa tunapita pale Ilkua lazima usimame ukikuta mwenzio inabidi uzuge aondoke nawe uingie ilbidi wapige tofali pale ila saiz naona kuna kioo pembeni yake ila aking'ai kama kile cha miaka ile
 
Kwani uliambiwa wanaotumia vioo hivyo kujiremba hawajui kama wa ndani wanawaona?!!
 
Ni kweli mkuu
Ile ni Azania Bank au Postal Bank.....

Sehemu nyingine ni pale nyuma ya Ex telecom opposite na BP petrol station.
Bila kusahau Akiba commercial bank Tandika....
 
Kuna dirisha la benk flan hv pale kwenye round about yenye sanamu ya askari mwenye bunduki miaka mitano nyuma Ilkua kila asubuhi watu wengi tuliokuwa tunapita pale Ilkua lazima usimame ukikuta mwenzio inabidi uzuge aondoke nawe uingie ilbidi wapige tofali pale ila saiz naona kuna kioo pembeni yake ila aking'ai kama kile cha miaka ile
Posta bank pale.....toka enzi hizo nasomaga Forodhani sekondari ndio ilikuwa kioo cha mabishoo wote.....unaenda Piga puto shati then unaingia stand posta mpya kugongana na watoto wazuri Wa Kisutu
 
Kwani uliambiwa wanaotumia vioo hivyo kujiremba hawajui kama wa ndani wanawaona?!!
Sasa kama wanajua, kwanini wasimame dirisha ambalo nasi tunategemea mwanga ili tufanye kazi halafu wanaendelea na mambo yao kama wako washroom ?
 
yaan nikipita kwenye hvyo vioo lazma niwe najichungulia nahis ni automatic ila kusimama na kuanza kujipamba this is
TOO MUCH
 
Back
Top Bottom