kujiajiri tanzania inawezekana?

kujiajiri tanzania inawezekana?

halikwenda

Member
Joined
Feb 3, 2013
Posts
9
Reaction score
0
jamani mi niko universty nasoma bba in accounting with education, kuajiriwa naona ni manyanyaso sana natamani kujiajiri na nimeplan kujikita kwenye kilimo na ufugaji, lakini naogopa risk. inanichanganya sana. na maliza chuo mwezi jully mwaka huu. naomba ushauri na faraja yenu.
 
unasoma kitu gani dogo?
 
Mpaka hapo umeisha Shindwa tiyali nakushauri ukaajiriwe tu, make kabla hata ya kuanza tiyali umeisha shindwa, Hakuna Biashara isiyo kuwa na Risk hapa Duniani na naomba uorodheshe Makampuni ambayo hayajawahi kufail mimi nitakupa orodha ya watu milioni ambao hawajawahi jaribu kufanya biashara, Wewe unazungumzia Risk wakati Thomas Edson alishindwa mara 10,000, kabla ya kuja kufanikiwa? HONDA alifukuzwa kazi kwenye kiwanda cha TOYOTA lakini alikuja kuibuka shujaa,

Ukiingia kwenye biashara huku unawaza Risk tiyali umeisha shindwa hivyo nakushauri uangalie Plan nyingine
 
Back
Top Bottom