Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 2,095
- 4,073
Huu ni ushamba mkubwa.
Kwanini usitumie hiyo pesa kupanga nyumba ya ndoto yako?
Kwanini usitumie hiyo pesa kukaa mtaa wa ndoto yako? ikiwezekana ukae town centa pale kila sehemu unatembea tu unaokoa pesa zaidi.
Ona sasa unaenda kukaa machokoroni huko kisa eti umejenga.
Najua kuna watakaosema wanawajengea watoto waje kuishi baadae wasihangaike.
Nani alikuambia watoto wanataka nyumba? kwanza wanasubiri wewe ukate moto waipige bei hiyo nyumba wagawane pesa.