Kujenga nyumba ni matumizi mabaya ya pesa

Huu ni ushamba mkubwa.

Kwanini usitumie hiyo pesa kupanga nyumba ya ndoto yako?

Kwanini usitumie hiyo pesa kukaa mtaa wa ndoto yako? ikiwezekana ukae town centa pale kila sehemu unatembea tu unaokoa pesa zaidi.

Ona sasa unaenda kukaa machokoroni huko kisa eti umejenga.

Najua kuna watakaosema wanawajengea watoto waje kuishi bdae wasihangaike.

Nani alikuambia watoto wanataka nyumba? kwanza wanasubiri wewe ukate moto waipige bei hiyo nyumba wagawane pesa.
Naunga mkono hoja
 
Nimewaza tu ikabidi nicheke. Kuna banda linaendelea kusetiwa hapo nyumbani kijijini, dah limezua maneno yanayofanana na ya mleta mada.

Tena live anaulizwa mama, hivi ili banda lote ataishi nani? Utaishi wewe mwenyewe wakati watoto hawaishi hapa?
Je ukifa nani ataishi hapa? hawa hawa watoto wanao ishi mjini watakuja kuishi hapa kijijini?
Wao wanamuwazia mama kufa, sikatai siku yake ikifika ataondoka, na mimi na wengine tutakufa ila si tutazikwa hapo?

Hilo banda litalinda hizo kaburi zetu, lakini pia hata wao wakija kutuzika wanatakiwa wapate pa kukaa.

Raha ya msiba ukitoka upate cha kuongea watu wale washibe lakini wasimulie waliyo yaona.

Mleta mada sio kwamba watu wanapenda kujificha kama ulivyo sema, kodi za mjini zinakera, kuna wakati utatamani kupumzika sehemu ambako hudaiwi kodi.
Kuna wakati utatamani wewe na ndugu zako mkutane kwenye banda lililoko mafichoni mule munywe mfurahi.

Dah ila maisha nayo ni mafupi sana maangaiko yote ila siku moja unazima dah.
 
Ndiyo maisha uliyoyachagua endelea kuupa moyo wako raha, acha wengine wajenge na kupambana kwenye mashamba yao.
 
Huu ni ushamba mkubwa.

Kwanini usitumie hiyo pesa kupanga nyumba ya ndoto yako?

Kwanini usitumie hiyo pesa kukaa mtaa wa ndoto yako? ikiwezekana ukae town centa pale kila sehemu unatembea tu unaokoa pesa zaidi.

Ona sasa unaenda kukaa machokoroni huko kisa eti umejenga.

Najua kuna watakaosema wanawajengea watoto waje kuishi bdae wasihangaike.

Nani alikuambia watoto wanataka nyumba? kwanza wanasubiri wewe ukate moto waipige bei hiyo nyumba wagawane pesa.
Kwani hiyo unayotaka kupanga ijengwe na nani?
 
Huu ni ushamba mkubwa.

Kwanini usitumie hiyo pesa kupanga nyumba ya ndoto yako?

Kwanini usitumie hiyo pesa kukaa mtaa wa ndoto yako? ikiwezekana ukae town centa pale kila sehemu unatembea tu unaokoa pesa zaidi.

Ona sasa unaenda kukaa machokoroni huko kisa eti umejenga.

Najua kuna watakaosema wanawajengea watoto waje kuishi baadae wasihangaike.

Nani alikuambia watoto wanataka nyumba? kwanza wanasubiri wewe ukate moto waipige bei hiyo nyumba wagawane pesa.
Kukuelewa ni ngumu sana. Nani ajenge nyumba unayotaka upange wewe?

Acha kila mtu aishi maisha yake.

Kupanga ni dalili ya umasikini.

Panga jengo la biashara maana ndilo linahitaji location.
 
Dhana za watu wa Tandika na Temeke.
Hawauzi nyumba ya urithi hata kwa 500m. Kisa hawataki kwenda Chanika ni mbali na mjini.
Ukiwauliza mara yako ya mwisho kwenda mjini lini, na ulienda kufanya nini? Hawakumbuki, kazi kupoteza nauli kwenda kwa Mwamposa.
 
Huu ni ushamba mkubwa.

Kwanini usitumie hiyo pesa kupanga nyumba ya ndoto yako?

Kwanini usitumie hiyo pesa kukaa mtaa wa ndoto yako? ikiwezekana ukae town centa pale kila sehemu unatembea tu unaokoa pesa zaidi.

Ona sasa unaenda kukaa machokoroni huko kisa eti umejenga.

Najua kuna watakaosema wanawajengea watoto waje kuishi baadae wasihangaike.

Nani alikuambia watoto wanataka nyumba? kwanza wanasubiri wewe ukate moto waipige bei hiyo nyumba wagawane pesa.
Unayasema hayo ukiwa bado kijana. Unaongezea kwa kejeli kuwa "ponda Mali kufa kwaja". Mungu ni mwema sana. Anakuongezea umri hadi unafikia uzee na bado umepanga nyumba nzuri katikati ya Jiji na mfukoni choka mbaya. Hapo ndo utajua hujui.
 
Kama mtu ana pesa ya kujenga na ajenge.

1. Familia inaishi kwa uhuru.
2. Familia inakuwa na maamuzi juu ya mazingira ya makazi yao (Bustani, ufugaji).

Kuna raha ya kumiliki nyumba. Hongereni wote mliojikwamua katika hili.
 
Unless uwe na uhakika wa cash flow yako kuanzia sasa hadi uzeeni vinginevyo utalia na kusaga meno.

Nyie ndo huwa mki staafu mnaanza kusumbua watoto oohh ntakumwagia radhi - kumbe bata ulikula mwenyewe hukujua kuna maisha ya uzeeni, ajira inaweza koma siku yoyote je una income ya kifanya uishi hapo kwa appatment ya ndoto yako?

Una kampuni yako ukiwa bado kijana sawa - je una uhakika itakuwa hai na kukuingizia kipato hata utakapofika umri wa uzeeni?

Kujenga si woga wa maisha bali ni uthubutu wa maisha.
 
Yani niache kula minyama niache kula mikuku nitoe pesa nkanunue michanga!!? NEVER😁💔
 
kama watu wanajenga viwanda, mimi ni nani wa kushindwa kujenga nyumba.!
 
Huu ni ushamba mkubwa.

Kwanini usitumie hiyo pesa kupanga nyumba ya ndoto yako?

Kwanini usitumie hiyo pesa kukaa mtaa wa ndoto yako? ikiwezekana ukae town centa pale kila sehemu unatembea tu unaokoa pesa zaidi.

Ona sasa unaenda kukaa machokoroni huko kisa eti umejenga.

Najua kuna watakaosema wanawajengea watoto waje kuishi baadae wasihangaike.

Nani alikuambia watoto wanataka nyumba? kwanza wanasubiri wewe ukate moto waipige bei hiyo nyumba wagawane pesa.
Kama Kila mwenye pesa akiamua kutojenga kama ulivowaza,utaenda kupanga Kwa nani!!!??????
 
Back
Top Bottom