C cefriaxone New Member Joined Oct 24, 2021 Posts 2 Reaction score 0 Jun 14, 2025 #41 Kuna nyumba ya wapangaji ipo buguruni kwa sasa ina wapangajo 15 inauzwa m100 kama unahitaji kuwekeza
Dodo86 Senior Member Joined Oct 23, 2018 Posts 112 Reaction score 92 Jun 14, 2025 #42 Mimi nina kiwanja kina m² 405 mbezi beach natafuta funds mtoa mada ana funds mwenzangu ana funds anatafuta eneo
Mimi nina kiwanja kina m² 405 mbezi beach natafuta funds mtoa mada ana funds mwenzangu ana funds anatafuta eneo
Mebuttefly Senior Member Joined Feb 5, 2014 Posts 114 Reaction score 94 Jun 19, 2025 #43 Njoo boko kuna viwanja vizuri na eneo ukimaliza tu wateja kama wote