Kujenga Apartments

Kujenga Apartments

Bloze

Member
Joined
Nov 15, 2023
Posts
23
Reaction score
56
Habari zenu wadau..

Mimi ni mdada nakuja kwenu kuomba ushauri.

Nataka kujenga appartments za kisasa ambazo zitakuwa ni sebule, chumba, choo, na jiko.. luku ya kujitegemea na maji kujitegemea. Nimepanga kujenga tatu in a compound.
Sasa bajeti yangu ni kama milioni 100. Kiwanja sina bado.

Je itanitosha kiwanja na ujenzi. Maeneo niliyopanga nitafute kiwanja ni goba kama bei zitakuwa juu sana nakimbilia mapinga..naombeni ushaur wenu juu ya kupata eneo potential kuendana na bajeti yangu
 
Ungekuwa mkazi wa Dodoma ningekushauri tafuta kiwanja Makulu na hela ingetosha
Pili naomba kazi ya ujenzi
 
Amesisitiza pia yeye ni mdada. Pesa, Jinsia na Apartment. Mjini hakuna mashamba
Inawezekana hii ikawa code "mimi ni mdada"

Bei ya Kiwanja kama goba na mapinga ni maeneo ya bei nafuu ikilinganishwa na miji kama Dar, lakini bei hutofautiana kutokana na umbali, kingine, urahisi wa usafiri kama barabara, daladala..., miundombinu ya kimsingi kama umeme na maj,

Makadirio ya bei ya kiwanja kwa goba ni milioni 10 hadi 30 kwa ploti kwa maeneo ya pembezoni, na mapinga ni milioni 5 hadi 20 kwa ploti isiyo na miundombinu.

Maeneo mengine ya bei nafuu ni kama kigambon,, pugu, kibaha, au maeneo ya mikoani kama morogoro ila kama una uwezo wa kuhama..pia zingatia urahisi wa kufika kwenye kiwanja

Bajeti ya Ujenzi
Kwa apartments 3 za kisasa makadirio ya gharama ni,
Ujenzi wa kawaida, shilingi 300,000 hadi 500,000 kwa m². Ukubwa wa kila apartment, studio ya m² 25–35 inatosha (jumla m² 75–105 kwa zote 3). Jumla ya gharama ya ujenzi ni kama 22.5–52.5 milioni, bila kujumuisha miundombinu.

Mambo ya kuongeza kwenye bajeti yako kama maji ya kujitegemea, gharama ya kisima cha maji milioni 5 hadi 15 au tanki la kukusanyia maji ya mvua. Nishati ya kujitegemea Paneli za jua mil 3 Hadi 10 au jenereta kwa dharura. Ufungaji wa choo, Septic tank milioni 2–5,,ukarabati wa kiwanja, kutengeneza barabara ndani ya compound n.k,,,Jumla yaweza kucheza 45.5–117.5 milion

Bajeti yako ya milion 100 inaweza kutosha lakini, chagua kiwanja cha bei ya chini ya 15M,,
Pia fanya ujenzi wa gharama nafuu kwa kutumia vifaa vya kawaida, na kwa kutumia fundi mzuri na muaminifu ila usimamizi muhimu sana,,,,tengeneza miundombinu kwa taratibu (kwa mfano, anza na septic tank, kisha solar baadaye).

nakushaur pia utafute wataalam wa kutengeneza michoro, wakusikilize pia na unachohitaji ili kuepuka gharama zisizohitajika kwa kutengeneza mchoro wenye mambo mengi bila sababu, pia jenga kwa hatua unaeza kuanza na apartments 2, kisha ongeza ya tatu baadaye., narudia simamia mwenyewe, epuka makampuni makubwa ya ujenzi, waajiri fundi wazoefu na waaminifu na ue site kila siku.

Bajeti yako ya TZS 100M inaweza kufikia malengo yako ikiwa utanunua kiwanja cha mil 15–25 pia ukijenga kwa gharama ya chini kwa mfano, 60M kwa ujenzi na miundombinu
Fanya utafiti wa kina wa bei za kiwanja na ubagein bei...Kwa urahisi, anza na kutafuta kiwanja kwa bei chini ya 20M, halafu plan ujenzi kwa bajeti iliyobaki.. kila la heri
 
haya mambo unatakiwa wewe uanze tu kama mwendawazimu ayo mengine utakuja kujua uko mbele kwa mbele. hakikisha una ramani na vibali vya ujenzi kabla ya kuanza kujenga kuepuka usumbufu bdae.
 
Habari zenu wadau..

Mimi ni mdada nakuja kwenu kuomba ushauri.

Nataka kujenga appartments za kisasa ambazo zitakuwa ni sebule, chumba, choo, na jiko.. luku ya kujitegemea na maji kujitegemea. Nimepanga kujenga tatu in a compound.
Sasa bajeti yangu ni kama milioni 100. Kiwanja sina bado.

Je itanitosha kiwanja na ujenzi. Maeneo niliyopanga nitafute kiwanja ni goba kama bei zitakuwa juu sana nakimbilia mapinga..naombeni ushaur wenu juu ya kupata eneo potential kuendana na bajeti yangu
Wazo zuri njoo Dodoma huku,demand ya nyumba ni kubwa!
 
Bei ya Kiwanja kama goba na mapinga ni maeneo ya bei nafuu ikilinganishwa na miji kama Dar, lakini bei hutofautiana kutokana na umbali, kingine, urahisi wa usafiri kama barabara, daladala..., miundombinu ya kimsingi kama umeme na maj,

Makadirio ya bei ya kiwanja kwa goba ni milioni 10 hadi 30 kwa ploti kwa maeneo ya pembezoni, na mapinga ni milioni 5 hadi 20 kwa ploti isiyo na miundombinu.

Maeneo mengine ya bei nafuu ni kama kigambon,, pugu, kibaha, au maeneo ya mikoani kama morogoro ila kama una uwezo wa kuhama..pia zingatia urahisi wa kufika kwenye kiwanja

Bajeti ya Ujenzi
Kwa apartments 3 za kisasa makadirio ya gharama ni,
Ujenzi wa kawaida, shilingi 300,000 hadi 500,000 kwa m². Ukubwa wa kila apartment, studio ya m² 25–35 inatosha (jumla m² 75–105 kwa zote 3). Jumla ya gharama ya ujenzi ni kama 22.5–52.5 milioni, bila kujumuisha miundombinu.

Mambo ya kuongeza kwenye bajeti yako kama maji ya kujitegemea, gharama ya kisima cha maji milioni 5 hadi 15 au tanki la kukusanyia maji ya mvua. Nishati ya kujitegemea Paneli za jua mil 3 Hadi 10 au jenereta kwa dharura. Ufungaji wa choo, Septic tank milioni 2–5,,ukarabati wa kiwanja, kutengeneza barabara ndani ya compound n.k,,,Jumla yaweza kucheza 45.5–117.5 milion

Bajeti yako ya milion 100 inaweza kutosha lakini, chagua kiwanja cha bei ya chini ya 15M,,
Pia fanya ujenzi wa gharama nafuu kwa kutumia vifaa vya kawaida, na kwa kutumia fundi mzuri na muaminifu ila usimamizi muhimu sana,,,,tengeneza miundombinu kwa taratibu (kwa mfano, anza na septic tank, kisha solar baadaye).

nakushaur pia utafute wataalam wa kutengeneza michoro, wakusikilize pia na unachohitaji ili kuepuka gharama zisizohitajika kwa kutengeneza mchoro wenye mambo mengi bila sababu, pia jenga kwa hatua unaeza kuanza na apartments 2, kisha ongeza ya tatu baadaye., narudia simamia mwenyewe, epuka makampuni makubwa ya ujenzi, waajiri fundi wazoefu na waaminifu na ue site kila siku.

Bajeti yako ya TZS 100M inaweza kufikia malengo yako ikiwa utanunua kiwanja cha mil 15–25 pia ukijenga kwa gharama ya chini kwa mfano, 60M kwa ujenzi na miundombinu
Fanya utafiti wa kina wa bei za kiwanja na ubagein bei...Kwa urahisi, anza na kutafuta kiwanja kwa bei chini ya 20M, halafu plan ujenzi kwa bajeti iliyobaki.. kila la heri
Uko Safi kabisa na utaalamu makini!
 
Appartments 3 za chumba, sebule choo na jiko zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha ukubwa gani? Bila ya kusahau parking
 
Kwa harakaharaka, ghorofa yenye vyumba 3, sebule, choo, na jiko inahitaji takriban 60–80 m²,,, kwahio jengo linaweza kuchukua 180–240 m²,,bila kujumuisha ngazi na paking., na kwa mahitaji ya parking, inapendekezwa kuwa na kiwanja cha maegesho kwa ajili ya gari 1 kwa kila ghorofa 2 Hadi 3, kwa mfano, ghorofa 3 zinaweza kuhitaji parking kuanzia 1–2.
namanisha ukubwa wa kila parking ni 2.5m x 5m ni 12.5 m² kwa gari 1, hivyo, maegesho mawili yatachukua angalau 25 m²..

Pia weka umbali wa kutosha na mipaka, kimjinimjini jengo lazima liwe na umbali wa mita 3 kwenda 5 kutoka kwa mipaka ya mbele, pia mita 2–3 kutoka upande wa nyuma, hua inasaidia kuongeza eneo la ziada kwenye kiwanja.

Kwa makadirio sasa kulingana na unachoitaj, eneo la jengo ni angalau 200 m² ikiwa ni ghorofa3,,maegesho ni angalau 25 m², eneo la ziada angalau 50–100 m².
Hivyo waitaji ukubwa wa kiwanja angalau 300–400 m².
 
Sio ghorofa
 
Back
Top Bottom