Kujamba marufuku Malawi! - Sheria Kutungwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujamba marufuku Malawi! - Sheria Kutungwa

Discussion in 'International Forum' started by Nyambala, Feb 4, 2011.

 1. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [FONT=Times New Roman, serif]Africa hatuishi vituko! Yaani badala ya kuwa bize na maendeleo angalia hawa jamaa!!!!!!!!

  Malawi moves to ban farting
  Posted 2 hours 47 minutes ago
  Malawi's government has confirmed reports that it intends to outlaw breaking wind in public.
  The African nation's justice ministry says the proposed legislation is part of a wider campaign to "mould responsible and disciplined citizens".
  Local media is questioning how the proposed law will be enforced when it is so easy to blame the offence on others.
  Source- BBC
  [/FONT]
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  AAAAAHHH, hapo sasa maafisa wa polisi watapata kazi ya kukagua "silent killers" lol. Ila Rwanda ni marufuku kutema mata/makohozi chini in public areas.
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Bwahahahaaaa ikitungwa Tanzania wa kwanza kufungwa atakuwa Mkwere...hahahahaaaa
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hakuna wahindi huko?
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hahahaha, mkuu hapa umeniacha hoi! lolest
   
 7. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Si Mkwere pekee yake.
  Rostam Aziz ni mjambaji mzuri hasa akila wali wa dengu.Yeye hujamba popote hata mbele za wakweze.
  Lowassa naye ni mzuri wa kujamba kwa silencer, hata kama ni katikati ya ibada yeye haimpi shida
  Mzee wa Vijisenti akipata nyama choma ya Kisukuma anajamba hadharani huku akicheka.
  Ngeleja yeye haoni aibu kujamba mbele za mademu baa.Mashuzi yake mtu anazimia
  Mama meghji anajiheshimu kidogo lakini akijamba ni wote kutawanyika harufu haivumiliki.
  Mramba na Mkapa waliwahi kushindana kuzima moto kwa kujamba waamuzi wakasema wote wametoka draw.

  Hii sheria ikija hapa kwetu itawapa shida sana hawa waheshimiwa.
   
 8. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,933
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Balaa itakuwa kipindi cha mahindi. maana kuna wengine wanakula mahindi ya kuchoma ambayo hayajaiva vizuri, inakuwa kasheshe wakiachia. mtafutano. bora wale mahindi ya kuchemsha au kande.
   
 9. Marunde

  Marunde JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Jun 9, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Mkuu sina mbavu!!!.
   
 10. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Teh, teh teh haha ha
  Mkuu Saluti
   
 11. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yaani wakati wenzetu wanafikiria maendeleo sisi tunafikiria kujamba.... very funny!!!
   
 12. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Malawi kupiga marufuku 'kupumua'?


  [​IMG] Malawi kukataza watu kujamba?  Mzozo umezuka nchini Malawi kufuatia mapendekezo kutaka kufikishwa bingeni kuhusu kujamba, kuwa ni kosa.
  Waziri wa sheria wa Malawi, George Chaponda amesema muswada huo utakaojadiliwa kuwa sheria ndani ya bunge wiki ijayo, utapiga marufuku kabisa kwa mtu kufanya haja hiyo hadharani. Waziri huyo amekiambia kituo kimoja cha radio nchini humo- kwa maneno yake - "nenda chooni kama unajisikia kujamba".
  Hata hivyo mkuu wa wanasheria nchini Malawi Anthony Karanga amesema kufanya haja hiyo hakufikii kuharibu hali ya hewa kiasi cha kuwa kosa la jinai.
  Mwandishi wa BBC nchini humo anasema wananchi wa Malawi wanajiuliza mapendekeo ya sheria hiyo, iwapo itapitishwa, itatekelezwaje.
  Source:BBC
  Swali:Hii sheria ikija Tanzania itakuwaje?
   
 13. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sijawahi kuona ujinga kama huu?? Hivi viongozi wa afrika wakoje jamanI??? Kweli kabisa watu wenye akili zao wanatumia pesa za wananchi kujadili nonsense kama hii!!??? Wanatufanya afrika tuonekane wajingaaa....:A S thumbs_down:
   
 14. B

  B4U Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli nchi masikini zina matatizo hata sheria zao wanazotunga zinashughulikia vitu vidogo vidogo kama hivi. Yaani wataalam wakae na kudraft na halafu bunge la nchi likae na kujadili kitu simple namna hii.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wakuu nimecheka sana! Lol
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Duuu nyie jamaa ni balaa


  Mbavu zangu lol!
   
 17. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hahahahahah....wewe kiboko!! analysis yako kali....:clap2:
   
 18. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sasa jamani... kwenye kundi kubwa utamjuaje mwenye kosa?????? huko ni kupoteza resources kwa kujadili vitu ambavyo ni vya kijinga, na utekelezaji wake mgumu....me :A S thumbs_down:
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  LOL - Hii imenichekesha sana. Sasa ikiwa mjambaji amejichanganyisha kwenye kundi itabakia kuonesha vidole tu. Itawabidi polisi wawanuse watu wote kubaini chanzo cha "Non Identified Bad Smell Object = NIBSO".
   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Watu wanene na wenye vitambi nawaonea huruma,maana nasikia wao wakikaa tu akitaka kunyanyuka huo!
   
Loading...