Kujamba marufuku Malawi! - Sheria Kutungwa

Kujamba marufuku Malawi! - Sheria Kutungwa

Sasa jamani... kwenye kundi kubwa utamjuaje mwenye kosa?????? huko ni kupoteza resources kwa kujadili vitu ambavyo ni vya kijinga, na utekelezaji wake mgumu....me :A S thumbs_down:

Sheria inakataza uchafuzi wa hewa kwa maana ya Air pollution. Wala haikuwa kwa ajili ya kuzuia kujamba. Ila kuna mwanasheria mmoja ambaye yeye ametafsiri kuwa air pollution ni pamoja na kujamba (tatizo la tafsiri) na story zimetoka kutokana na tafsiri yake huyo bwana.

Otherwise, such a law can not be enforced kutokana na ugumu wa kujua "source of pollution" kutakapokuwa na mtu zaidi ya mmoja, na jinsi ya kutunza ushahidi.
 
Sasa jamani... kwenye kundi kubwa utamjuaje mwenye kosa?????? huko ni kupoteza resources kwa kujadili vitu ambavyo ni vya kijinga, na utekelezaji wake mgumu....me :A S thumbs_down:

Kama kuna watoto kwenye hilo kundi basi ni kuwasingizia hao!
 
Waafrika kweli hamnazo...kujamba marufuku lakini corruption na nepotism hamna shida yoyote hata kama ni kwa gharama ya kuisambaratisha nchi!
 
kujamba ni afya..

tena wangewela law ya kuwalazimisha watu na si kuwakataza...

( lakini si kwenye meza ya chakula tu )
 
Si Mkwere pekee yake.
Rostam Aziz ni mjambaji mzuri hasa akila wali wa dengu.Yeye hujamba popote hata mbele za wakweze.
Lowassa naye ni mzuri wa kujamba kwa silencer, hata kama ni katikati ya ibada yeye haimpi shida
Mzee wa Vijisenti akipata nyama choma ya Kisukuma anajamba hadharani huku akicheka.
Ngeleja yeye haoni aibu kujamba mbele za mademu baa.Mashuzi yake mtu anazimia
Mama meghji anajiheshimu kidogo lakini akijamba ni wote kutawanyika harufu haivumiliki.
Mramba na Mkapa waliwahi kushindana kuzima moto kwa kujamba waamuzi wakasema wote wametoka draw.

Hii sheria ikija hapa kwetu itawapa shida sana hawa waheshimiwa.
Teh teh teh, kwi kwi kwiiiii,lol nimecheka hadi nimejamba.
 
Tufunge safari ya kwenda Malawi kwa sala Rev..
naoana wanahitaji maombi haha lol

Nina wasi wasi mtumishi wa bwana nitakuacha huko! Ukizingatia unapenda karanga na mayai ya kuchemsha lol!
 
dah! unaweza ukakorofishana na waifu halaf waifu akakusakazia kwa mgambo umebeep na ukaishia gelezani bila hatia. dah! wanawake bana
 
Nina wasi wasi mtumishi wa bwana nitakuacha huko! Ukizingatia unapenda karanga na mayai ya kuchemsha lol!

hahahah lol
ntafunga kuanzia leo
sili kitu hata maharage matamu ya kuchoma hahahah lol
 
Mimi Nafikiri kuifanya sheria ifanye kazi vizuri ningeshauri wangejenga vibanda vya kufanyia Fasia Kama ilivyo vibanda vya kuvutia sigara. Vinginevyo itakuwa ngumu sana maana kuna ule wa ssssshuuuuuuuuu ambao hautoi sauti ni vigumu kumtia mtu hatiani. Ila sheria hii ni mufilisi maana ni sawa na kusema mtu asipige chafya then itakuja kuvuta hewa hadharani. Kuna wakati mtu unamtoka involuntarily(umemponyoka).
 
dah! unaweza ukakorofishana na waifu halaf waifu akakusakazia kwa mgambo umebeep na ukaishia gelezani bila hatia. dah! wanawake bana

Mpwa kuna haja ya kuwa unatembea na gunzi in case hali imekuwa mbaya!
 
haya ndugu zangu wa mwanza na manumbu ya kuchoma.....
 
"Ana,ana, ana do!" itatumika kuchagua wa kumtia hatiani kati ya watuhumiwa:biggrin1:!
 
Back
Top Bottom