Kujamba marufuku Malawi! - Sheria Kutungwa

Nasikia Polisi wa Malawai watakua wanatembea na vichupa, ukichafua hewa tu wanachukua sample moja kwa moja maabara kucheck DNA ya uchuzi wako na kulinganisha na finger print, Oh sorry tuseme ****** print yako kama ushuzi ulitokea huko....kaaaazi kweli kweli.
 
Balaa itakuwa kipindi cha mahindi. maana kuna wengine wanakula mahindi ya kuchoma ambayo hayajaiva vizuri, inakuwa kasheshe wakiachia. mtafutano. bora wale mahindi ya kuchemsha au kande.

Mods naomba hii thread uiondoe hapa, la sivyo majeruhi watakuwa wengi sana hapa JF kwani inavunja mbavu siyo kidogo!
 
jamani mpaka wameamulia hivi ujue limekuwa janga la kitaifa tusipuuze tu tujaribu kuwafatilia hawa watu uenda wanajamba sana hadharani kiasi kwamba imekuwa kero kuliko watu wanaovuta sigara hadharani

Hamna lolote wanatafuta umaarufu tu. Chakula cha shida, wanajampa nini, .....
 
Si Mkwere pekee yake.
Rostam Aziz ni mjambaji mzuri hasa akila wali wa dengu.Yeye hujamba popote hata mbele za wakweze.
Lowassa naye ni mzuri wa kujamba kwa silencer, hata kama ni katikati ya ibada yeye haimpi shida
Mzee wa Vijisenti akipata nyama choma ya Kisukuma anajamba hadharani huku akicheka.
Ngeleja yeye haoni aibu kujamba mbele za mademu baa.Mashuzi yake mtu anazimia
Mama meghji anajiheshimu kidogo lakini akijamba ni wote kutawanyika harufu haivumiliki.
Mramba na Mkapa waliwahi kushindana kuzima moto kwa kujamba waamuzi wakasema wote wametoka draw.

Hii sheria ikija hapa kwetu itawapa shida sana hawa waheshimiwa.

Punguza utani, wenzio tunavunjika mbavu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ashakum si matusi, India sheria hii magereza yatafurika manake India watu wanayaachia tu barabarani, darasani na popote tu kwenye hadhara ruksa. Manake first nadondoka delhi nilikuwa nashangaa watu wanavyojiachia katika mashuzi wakati bongo na afrika si kawaida.

Kama malawi mpaka wanatunga sheria basi wenzetu wameenda hatua moja mbele.
 
Si Mkwere pekee yake.
Rostam Aziz ni mjambaji mzuri hasa akila wali wa dengu.Yeye hujamba popote hata mbele za wakweze.
Lowassa naye ni mzuri wa kujamba kwa silencer, hata kama ni katikati ya ibada yeye haimpi shida
Mzee wa Vijisenti akipata nyama choma ya Kisukuma anajamba hadharani huku akicheka.
Ngeleja yeye haoni aibu kujamba mbele za mademu baa.Mashuzi yake mtu anazimia
Mama meghji anajiheshimu kidogo lakini akijamba ni wote kutawanyika harufu haivumiliki.
Mramba na Mkapa waliwahi kushindana kuzima moto kwa kujamba waamuzi wakasema wote wametoka draw.

Hii sheria ikija hapa kwetu itawapa shida sana hawa waheshimiwa.
:clap2:komedi hiyo nimeipenda
 
duh Africa ni Africa tu, wengine tunasikia wamevumbua Andoids,iPAD etc sisi tunaanza kusaka watu wanaojamba? kweli hii dunia haiko sawa
 
Jamani....huku ni kumuingilia Mungu na maswala ya uumbaji na kisayansi ni kuwasababishia watu kupata mvurugiko wa tumbo tu..sawa ila huenda wameshatenga maeneo maalum ya kujambia kama majuu wanapotenga maeneo ya kuvutia sigara''smoking free zone''

Na ukweli wachina hawatakwenda kuwekeza huko malawi maana mimi nawajua hawa wawekezaji wako ''fit'' kwenye kujamba na hasa katika miradi ya ujenzi kama barabara huwa wanachuchumaa/chutama kwa muda mrefu huku wakijipendelea kila daada ya dakika kumi hivi ok wamalawi wamewafukuza wawekezaji wa kichina.
 
Dah! Hivi sijapotea kweli, sio jukwaa la utani hili!
 
[FONT=Times New Roman, serif]Africa hatuishi vituko! Yaani badala ya kuwa bize na maendeleo angalia hawa jamaa!!!!!!!!

Malawi moves to ban farting
Posted 2 hours 47 minutes ago
Malawi's government has confirmed reports that it intends to outlaw breaking wind in public.
The African nation's justice ministry says the proposed legislation is part of a wider campaign to "mould responsible and disciplined citizens".
Local media is questioning how the proposed law will be enforced when it is so easy to blame the offence on others.
Source- BBC
[/FONT]

Kabla ya sheria kutungwa kunakuwa na mischief fulani, social evil etc ile sababu inayofanya serikali kupeleka sheria bungeni.

Jamani mnaweza kutueleza what is the mischief which lead to this bill? Tukijua hiyo maybe tunaweza kuona oh, they are justified.

All in all they are very funny laws in the world hii sio ya kwanza.

Zimbabwe:

Citizens may not make offensive gestures at a passing state motorcade.

Netherlands:
It is legal to smoke pot, buy it, or have less than 5 grams with you.
Prostitution is legal but the prostitutes must pay taxes like any other business.

Germany:
Every office must have a view of the sky, however small.
A pillow can be considered a “passive” weapon.
It is illegal for ones car to run out of gas on the Autobahn.

THE STATES:
California
No vehicle without a driver may exceed 60 miles per hour.
Florida:
It is illegal to sell your children.
Women may be fined for falling asleep under a hair dryer, as can the salon owner.
A special law prohibits unmarried women from parachuting on Sunday or she shall risk arrest, fine, and/or jailing.
It is illegal to sing in a public place while attired in a swimsuit.
Men may not be seen publicly in any kind of strapless gown.
Having sexual relations with a porcupine is illegal.
When having sex, only the missionary position is legal.
You may not fart in a public place after 6 P.
It is considered an offense to shower naked.
You may not kiss your wife’s breasts.

The list is soo long you may get suprised
 
do-pretty-girls-fart.jpg
Do Pretty Girls Fart?
 
Back
Top Bottom