Oooh! Nadhani kulitokea tatizo, anyway, kipindi hicho nawafuata TAESA sikubahatika kukutana na mtu aliyekua na elimu level ya certificate (hii ni kwa wale niliofanikiwa ku'connect nao) ila wale wa diploma niliingia nao hadi kwenye internship. Kikubwa kama una certificate we beba vyeti vyako original fika pale. Ukikataliwa basi mapambano yaendelee