Cheki comments za nyuma kidogo hapo maelekezo yooote ya namba ya kufika yametolewa, usisahau kubeba vyeti vyako originalSAWA hebu nipe maelezo kesho naenda.
Ukifika pale unawaambiaje ?
na lazima niwe na barakoa ?
Cheki comments za nyuma kidogo hapo maelekezo yooote ya namba ya kufika yametolewa, usisahau kubeba vyeti vyako original
Ukifika pale unasalamia then unasema kuwa nimekuja kujiandikisha kwa ajili ya internship watakuuliza vyeti original wakiona watakupa fomu ujazeSAWA hebu nipe maelezo kesho naenda.
Ukifika pale unawaambiaje ?
na lazima niwe na barakoa ?
Huduma ya online ipo, unajaza hii form hapa kisha fuata maelekezo. View attachment TaESA- Intership form for Job seekers_1.pdfHapana, hawana hiyo huduma kwa sasa. Wanasajiri manually pale ofisini kwao
Oooooh!! Kumbe wameanza kutia hii huduma. Naomba radhi kwa niliokua nimewapotosha kwani nilitumia data za mwanzoni mwa mwaka huuHuduma ya online ipo, unajaza hii form hapa kisha fuata maelekezo. View attachment 1526882
Huduma ya online ipo, unajaza hii form hapa kisha fuata maelekezo. View attachment 1526882
Ila mkuu ungeenda manual pale kuna form flani ukifika unapewa unajaza then unaverify vyeti vyako then unaenda kwa mtu wa IT anakusajil then unapewa control number ambayo ndo utapangiwa lini ukafanye training na interview sasa sijui kama huko online hivyo vitu vyote vinafanyikaAsante mkuu hii nimetuma leo
Akiba pale upande wa pili utaiona..ipo kama police post
Sasa hv n online, mm nmejisajili lakini cjaona hayo mambo ya control number na mwezi sasa umepita sijapata feedback yoyote ile kutoka kwao sasa cjui kuna mahali nmekosea au vpIla mkuu ungeenda manual pale kuna form flani ukifika unapewa unajaza then unaverify vyeti vyako then unaenda kwa mtu wa IT anakusajil then unapewa control number ambayo ndo utapangiwa lini ukafanye training na interview sasa sijui kama huko online hivyo vitu vyote vinafanyika
Kabsa wanajibu on the spot tofauti na mashirika mengineNachowapenda taesa,
ukituma email wanaijibu sio kama mashirika mengine.
Kweli mzee, mashirika mengine yangekuwa hvy ingependeza sanaKabsa wanajibu on the spot tofauti na mashirika mengine
Ezekiel Mbaga Naomba email yao (Taesa) mkuuNachowapenda taesa,
ukituma email wanaijibu sio kama mashirika mengine.