Kuitwa Training TAESA

Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilipeleka CV yangu na taarifa zangu za kitaaluma TAESA kama Taasisi ya serikali inayoshughulika na ajira yani (Tanzania Employment Services Agency)...
Vipi mkuu ulienda ukajua nini kinaendelea?
 
Mkuu hii inawahusu level zote ,nikimaanisha certificate,diploma na degree?
 
Umejibu empty
Oooh! Nadhani kulitokea tatizo, anyway, kipindi hicho nawafuata TAESA sikubahatika kukutana na mtu aliyekua na elimu level ya certificate (hii ni kwa wale niliofanikiwa ku'connect nao) ila wale wa diploma niliingia nao hadi kwenye internship. Kikubwa kama una certificate we beba vyeti vyako original fika pale. Ukikataliwa basi mapambano yaendelee
 
Mimi wamenipigia simu wiki iliyoisha wakanambie niende mwenye interview niliwah kufanya mtihani wao mwaka 2019 mwezi wa tisa .
 
Kuna jamaa waliikuwa chini ya Taesa baadae wakapewa mkataba na waliikuwa wanalipwa 150,000/= kwa mwezi Ila Sasa wameajiriwa kwa hyo we komaa tu mkuu kuwa mvumilivu na uwe na nidhamu ya kazi utakapopangiwa mungu si athuman wanasema

Hao TAESA wanachukua hata waliomaliza chuo miaka 2 na waliosoma Engineering ?????
 
Utakuwa ulishindwa interview

 
Hao TAESA wanachukua hata waliomaliza chuo miaka 2 na waliosoma Engineering ?????
Sijajua ulivyosema 'miaka miwili' ulimaanisha nini hasa. Ila ninachofahamu ni kuwa wao wanadeal na wahitimu tu(diplomas, bachelors, masters, etc) na ndio maana ukifika pale cha kwanza utatakiwa uoneshe vyeti vyako original.
 
Hapana, hawana hiyo huduma kwa sasa. Wanasajiri manually pale ofisini kwao


SAWA hebu nipe maelezo kesho naenda.


Ukifika pale unawaambiaje ?

na lazima niwe na barakoa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…