Kuitwa kwenye Usaili NHIF

Kuitwa kwenye Usaili NHIF

Hawa jamaa hawako serious kabisa na kazi yao au wana magumashi wameyafanya sasa wanaogopa kutumbuka. Tangazo la kazi lilitolewa November, Interview February, matokeo ya Interview June na hapo unaambiwa baada ya matokeo watatangaza shortlisted for Oral interview, Ni shiiiiiida
 
hivi kama serikali imesimamisha kuajiri watu kweli,hizi nafasi si ndio zimepepea hivi au sio hivuo wadau wa humu.kama zipo mbona hawamalizii kutua majawabu na kuita watu kweny oral!!
 
Njooni mtupe clue za interview Nhif kwa ambao walifanya
 
Back
Top Bottom