Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,129
- 8,374
Pole..but Usikate tamaa..may be interview hii utapataNilishaangaika sana n interview za mashirika ya umma niliambulia tu kuwasindikiza wenzangu kuchukua ajira zao.dah!
Pole..but Usikate tamaa..may be interview hii utapataNilishaangaika sana n interview za mashirika ya umma niliambulia tu kuwasindikiza wenzangu kuchukua ajira zao.dah!
Wewe kwanini ulichelewa mjini alafu unataka kazi ya kiyoyozi?Kachukue mkopo beyport ufanye biashara,Kazi tuachie ma'alwatan!Wanaita watu kibao kipitisha watu wao
Kosa kubwa katika maisha ni kukata tamaa, try your luck,sio wote wanaopata wanabebwa,Wanaita watu kibao kipitisha watu wao
Kila la heri...usisahau peniHahahaha haya ngoja tukapambane
Hahahahaha Mr.mtui nitabeba na extraKila la heri...usisahau peni
ila mazee watu 3000...si idadi sawa na wanafunzi wote wa department au chuo kabisa...then ni venue ngap hapo for just 3 postsKosa kubwa katika maisha ni kukata tamaa, try your luck,sio wote wanaopata wanabebwa,
Kila la heri...usisahau peni
Upo kwenye kitengo gani hapoNgoja namie nisbiri ya kwanza may be naweza kupata.
Wewe kwanini ulichelewa mjini alafu unataka kazi ya kiyoyozi?Kachukue mkopo beyport ufanye biashara,Kazi tuachie ma'alwatan!
Kosa kubwa katika maisha ni kukata tamaa, try your luck,sio wote wanaopata wanabebwa,
asante....nitaihifadhi toka moyoni kabisaWewe huwezi kupenya Hifadhi post yangu