Kuitwa kwenye usaili TBS

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,177
6,337
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa tarehe 23.12.2015 kuwa usaili wa kuandika (Aptitude test) utafanyika tarehe 06.06.2016 hadi 07.06.2016. Usaili utafanyika katika ukumbi wa University of Dar-es-Salaam, Business School; muda ni kama ulivyoainishwa katika jedwali husika. Matokeo ya usaili wa kuandika yatatangazwa tarehe 10.06.2016 katika tovuti ya TBS http://www.tbs.go.tz

Pia usaili wa mahojiano (Oral Interview) utafanyika kuanzia tarehe 14.06.2016 hadi 15.06.2016; muda ni kama ulivyoainishwa kwenye jedwali. Mahali pa kufanyia usaili ni katika ofisi za TBS makao makuu yaliyopo Ubungo, Dar-es- Salaam.

SHORTLISTED CANDIDATES FOR THE POST OF INSPECTION TECHNICIAN II - 2POSTS QUALIFICATION: HOLDER OF DIPLOMA OR NTA LEVEL VI IN BIOMEDICAL ENGINEERING FROM A RECOGNISED INSTITUTION EMPLOYER: TANZANIA BUREAU OF STANDARDS

1. HAMMED P.O.BOX 1011, LINDI,
2. SHARIFU RAJABU KISHAKALI C/0 ARUSHA TECHNICAL COLLEGE P.O BOX 296 ARUSHA

SHORTLISTED CANDIDATES FOR THE POST OF QUALITY ASSURANCE OFFICER II -5POSTS QUALIFICATION: HOLDER OF Bsc. TEXITILE ENGINEERING OR TEXTILE TECHNOLOGY EMPLOYER: TANZANIA BUREAU OF STANDARDS.

1. SUZAN ELISANTE P.O BOX 14186 ARUSHA, SHORTLISTED
2. THOMAS R. TEMBA P.O.BOX 14591 DSM, SHORTLISTED
3. THUREYA HAROUB SEIF, P.O.BOX 90015, DSM, SHORTLISTED
4. HABIBU HAMIS, P.O.BOX 75762, DSM. SHORTLISTED
5. SIRAJI A. MKOKOTO P.O.BOX 82 KONDOA SHORTLISTED
6. GODFREY PETER KANIKI, P,O BOX 72757, DSM SHORTLISTED

SHORTLISTED CANDIDATES FOR THE POST OF INSPECTOR II - 2 POSTS QUALIFICATION: HOLDER OF Bsc. IN TEXITILE ENGINEERING OR TEXTILE TECHNOLOGY EMPLOYER: TANZANIA BUREAU OF STANDARDS.

1. SUZAN ELISANTE, P.O.BOX 14186, ARUSHA.
2. SIMON EMMANUEL, P.O.BOX 310, MWANZA,
3. MITUMBA ADAMU DAUDI, MILAMBO PRIMARY SCHOOL P.O.BOX 170 MAGU-MWAN
4. GODFREY KANIKI, P.O.BOX 72757 DSM

SHORTLISTED CANDIDATES FOR FOR THE POST OF STANDARD OFFICER II - 3POSTS QUALIFICATION: HOLDER OF Bsc. TEXTILE ENGINEERING OR TECHNOLOGY EMPLOYER: TANZANIA BUREAU OF STANDARDS.

1. THOMAS R. TEMBA P.O.BOX 14591 DSM
2. SUZAN ULOMI ELISANTE, P.O.BOX 14186, ARUSHA,
3. JAMES, JAMES H P.O.BOX 72757 DSM,

SHORTLISTED CANDIDATES FOR THE POST OF STANDARDS OFFICER II - 1 POST QUALIFICATION: HOLDER OF BSC ENVIRONMENTAL HEALTH SCIENCE EMPLOYER: TANZANIA BUREAU OF STANDARDS.

1. FRANK ANJELO. MGATTA, P.O.BOX 20950, DSM
2. PHILIPO MAKARO JOSEPH, P.O.BOX 16 TARIME
3. YASIN SAID MWINORY, P.O.BOX 38 KYAKA-MISSENYI,
4. AMBAKISYE K. MHICHE, RS/RHMT-KIGOMA P.O.BOX 16 KIGOMA

KUNA MAJINA MENGINE YA KADA ZINGINE YAPO ILA NIMESHINDWA KUZIWEKA HAPA KUTOKANA NA MUDA.

OMBI KWA TBS, MTAPIGWA MANATI MUDA SI MREFU KWA KUWATUNZIA WATU WENU NAFASI ZA KAZI....ENDELEENI TU
 
Mazuri Yao,
2posts wameita watu hao wawili kwnye Written so probability 100%,
5Posts wameita watu 6 kwenye Written so probability 83%
na kwenye post zingine ni hivyohivyo hivyo uwezekano wa kukosa ni mdogo kuliko uwezekano wa kupata (ceteris peribus), sio kama tume ya ajira post 1 wanaita watu 800.

Mabaya Yao,
Kazi zilitangazwa toka Mwezi wa 12, wengine wahspata kazi nzuri kwengine na pengine wengine washakata tamaa ya hii kazi wakaamua kufanya mambo mengine, au wengine kwenda kutafuta mikoani. Ushauri tu kama mnajuua mtahitaji watu kwenye mwezi wa 6 mwaka huu wa 2016 basi hakuna haja ya kuitisha barua toka Mwaka jana
 
2 post wanaitwa watu wawili ina maana iyo kozi aina watu au

Hawa jamaa wametunziana nafasi au wanakurupuka tu, angalia mdau hapo juu anaitwa SUZAN ELISANTE AMEITWA POST YA NAFASI 3 WATU 3, NAFASI 2 WATU 4, NA NAFASI 5 WATU 6. MBAYA ZAIDI LAZIMA KUNA WATU WENGINE HAWATAENDA NA WATASUMBUA WATU TENA KWA KUTANGAZA NAFASI

NAFASI 1 UPANDE WA UMEME WAMEITA WATU 41, HAWA TBS WANALETA UHUNI...KUNA NAFASI WALITANGAZA MWAKA JANA MWEZI WA TANO WAKAJA KUITA USAILI YA KUANDIKA MWEZI WA TISA NA WAKASEMA BILA CHETI UFANYI USAILI ILA KUNA WATU WALIRUUSIWA....WAKASEMA TENA BILA CHETI UFANYI USAILI WA MAOJIANO LAKINI KUNA WENGINE WALIRUHUSIWA WAKAFANYA NA KAZI WAKAPATA.

MKURUGENZI KUA MAKINI UTAINGIZWA MJINI SOON.
 
Mazuri Yao,
2posts wameita watu hao wawili kwnye Written so probability 100%,
5Posts wameita watu 6 kwenye Written so probability 83%
na kwenye post zingine ni hivyohivyo hivyo uwezekano wa kukosa ni mdogo kuliko uwezekano wa kupata (ceteris peribus), sio kama tume ya ajira post 1 wanaita watu 800.

Mabaya Yao,
Kazi zilitangazwa toka Mwezi wa 12, wengine wahspata kazi nzuri kwengine na pengine wengine washakata tamaa ya hii kazi wakaamua kufanya mambo mengine, au wengine kwenda kutafuta mikoani. Ushauri tu kama mnajuua mtahitaji watu kwenye mwezi wa 6 mwaka huu wa 2016 basi hakuna haja ya kuitisha barua toka Mwaka jana

USIWATETEE TBS,
SHORTLISTED CANDIDATES FOR THE POST OF SYSTEM ADMINISTRATOR II- 1POST QUALIFICATION: HOLDER Bsc/ADVANCED DIPLOMA IN COMPUTER SCIENCE OR

WALIOITWA WAKO 110.

SHORTLISTED CANDIDATES FOR THE POST OF STANDARDS OFFICER II - 1 POST QUALIFICATION: HOLDER OF BSC IN ELECTRICAL ENGINEERING EMPLOYER: TANZANIA BUREAU OF STANDARDS

WALIOITWA WAKO 41.

SHORTLISTED CANDIDATES FOR THE POST OF STANDARD OFFICER II - 1P0STS QUALIFICATION: HOLDER OF MICROBIOLOGY & CHEMISTRY

WALIOITWA WAKO 9.

SHORTLISTED CANDIDATES FOR THE POST OF QUALITY ASSURANCE OFFICER II - 2POSTS QUALIFICATION: HOLDER OF BSC GENERAL ( MICROBIOLOGY & CHEMISTRY ) EMPLOYE: TANZANIA BUREAU OF STANDARDS

WALIOITWA WAKO 12.
 
Hiyo engineering ya Textile ndo inakuwaje?

Inaonekana wapo wachache sana na kazi zikitoka sehemu serikali wanachukuliwa moja kwa moja.

Hao wawili watatu waliowaokoteza si ajabu wameshapata sehemu serikalini.

Sisi tunaosoma kozi za kufuata mkumbo ngoja tuendelee kuisoma namba.
 
wewe ulikua na vgezo ukaaply hukuitwa? coz nyingine bado keki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom