Kuitwa kwenye usaili Barrick DSM HQ

Kuitwa kwenye usaili Barrick DSM HQ

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,404
Reaction score
3,061
Wadau mnamo leo mida ya saa tano hv, nimepokea simu toka kwa HR Mr Renatus!!

Ameniambia nihudhurie usaili wa nafasi ya Accountant, alhamis saa tatu asubuhi, mzigo utapigwa Barrick HQ!!

Mwenye uzoefu na hawa jamaa naombeni msaada!
 
Mimi hapa Nina uzoefu nilifanya ya quantity surveyor, ni kuwa wapo wa tatu, kuna mbongo dogo mmoja hivi ndo hr msaidizi, yuko poa sana na hao wazungu 2, mnakuwa rum kama story mezani, kama ulituma CV yako wanaiprit wanaanza kukuliza kuhusu humo, n.k,
muhimu meza vizuri job rensponsility kwenye tangazo lao hakikisha umelijua Mimi ckumeza niliabika vibaya maana application zao wanakaa hata nusu mwaka toka uaply, fika msasani njia panda slypway utaona bango lao
 
Thankx kamanda wangu, tangazo la kazi ninalo mkononi nameza kama kawaida!!
 
Asante sana kamanda,tuko pamoja sana!!!
 
Prakatumba nimeitwa nafasi ya account payable first line leader!!
 
Back
Top Bottom