Kuitwa kwenye uptitude test TPb benk

Kuitwa kwenye uptitude test TPb benk

Hawa jamaa nakumbuka wanatumaga SMS mapema nilitoka saa 5 asubuhi kwenye paper nafika home saa 7 kasoro SMS imeingi ya kuitwa Oral na wakianzaga kutuma hadi kero maana wanarudia rudia,pia kuwa mvumilivu wenda hawajamaliza bado Mtaitwa tu na mtapata wote Inshallah.
[/QUOTE
Sema walisema wataanza kutuma saa moja jioni,mm pia bado sijapata
 
Hamna hata cha ubora washkaji zangu wamerudi juzijuzi wamekaa miaka 3 wamechakaaa, bora hata ungempeleka kijijini ukampa alime heka zake za vitunguu apate hela kuliko kwenda kulilimia jeshi alafu unatoka kapa, so usifurah saanaaa muombee tu Mungu maisha yamebadilika
Daaaaah saiv mambo ni moto yaan ni sheeedah
 
Mm pia nimfanya ila sijapata text najaribu kuvuta subira na kusikilizia wadau kama wameshapata nianze safari ya mkoani nikapalilie mihogo yangu
 
Mm pia nimfanya ila sijapata text najaribu kuvuta subira na kusikilizia wadau kama wameshapata nianze safari ya mkoani nikapalilie mihogo yangu
Wadau wa TPB tupen mrejesho ili tuanze safari ya kurudi kijijini tukaendelee na mambo mengine, kama sms zimetumwa tujuzane mazee.
 
Back
Top Bottom