Kenedy Adam mwamagemo
Member
- Jan 24, 2019
- 66
- 65
Nafasi 20 watu 700 mtapiga text
Mbona kawaida tu kwa Ajira za sasa mkuu sema tu hizo nafasi mostly ni kujuana ila hiyo ratio ya kawaida sana.Nafasi 20 watu 700 mtapiga text
Aptitude test Zinakua hivi... Ni upuuzi mtupuMie pia Nimeitwa sasa sijui hizo test zao zinakuaje mwenye ufahamu atusaidie Jaman
I just said that to those who already have a job a wants to change their careers don't do the testMbona kawaida tu kwa Ajira za sasa mkuu sema tu hizo nafasi mostly ni kujuana ila hiyo ratio ya kawaida sana.
Jina langu mbona halipo and I am selectedHaya PDF hiyo ya Majina yote.
Basi Nenda Kiongozi hapo sifahamu.Jina langu mbona halipo and I am selected
Mmmmh,Mungu atusaidie . Sio kwa number hii..Haya PDF hiyo ya Majina yote.
Sina mpango wa kufanya kiukweli. I was just askingBasi Nenda Kiongozi hapo sifahamu.
Hizi test huwa ni very tricky asee huchelewi kuondoka na 0 mzeeAptitude test Zinakua hivi... Ni upuuzi mtupuView attachment 1166003View attachment 1166005View attachment 1166006
Hizi test huwa ni very tricky asee huchelewi kuondoka na 0 mzee
Mmmmh,Mungu atusaidie . Sio kwa number hii..
Ameeen..Atakusaidia naimani
Aisee noma kweliMkuu wewe sema atapata but usijipe asilimia 100%....cha msingi muombe mungu amsaidie huko alipoenda afanikiwe...na rafiki angu mtoto wa kibosile mmoja mkubwa sana huko kwenye kitengo,tangu tunasoma chuo alikua na uhakika wa kuingia huko...kamaliza jkt vizuri kuingia kwenye kitengo mambo yamegoma mpaka leo....hii nchi ilipofikia sahivi hata uwe mtoto wa waziri mkuu usijipe asilimia zote...jiwe kuna siku nilimsikia anamchana naibu waziri mambo ya ndani kuwa kunavijana wake watano alitaka kuwaingiza polisi ikashindikana so asidhani jiwe hajui...sasa kama naibu waziri anashindwa nani anauhakika
test ilikuwa fair.natumaini nitapita
Jamaa umepanick sana na BRELA UTUMISHI ukistress nao watakukausha kizazi asee😃😃 mi nimegonga ORAL 3 na juzi nimegonga ya 4 nawasikilizia hapa.Vipi mmetumiwa meseji za matokeo au nao wameita wa internship bila kufanya written kama wenzao?