Walinitumia sms Jana majira ya alasiriNdugu zangu wana jamvi, wale tulioomba nafasi za Bank operation officers ktk benk ya Tpb majib tayar, vp kuna mtu yeyote mwenye taarifa pia..?
Ulifanikiwa Kiongoziwanatoa general questions
a)hesabu multiple choice
b)grammar
c)wanatoa habari halafu jibu kupitia iyo habari
Zote hizo ni multiple choice niliwahi kufanya last year
Ngoja nimuulize mdau mmoja pale halafu ntawajulisha, ila kama wameita nafasi 20 jiandae kukutana na watu kama wotewanatoa general questions
a)hesabu multiple choice
b)grammar
c)wanatoa habari halafu jibu kupitia iyo habari
Zote hizo ni multiple choice niliwahi kufanya last year



hapana mwamba,ilikuwa hiviUlifanikiwa Kiongozi
Kwanini hutokwenda ..na kwanini uli apply kama ulikua unajua hutokwendaHata mim wamenitumia jana ile sitakwenda...kila la kheri wote mtakaokwenda
Nilivoomba nilikua sijapata kazi...ila nikapata hapa katikati kwaio sina sababu ya kwenda kubana riziki za wengine hukoKwanini hutokwenda ..na kwanini uli apply kama ulikua unajua hutokwenda
CALL FOR APTITUDE TEST.Mm pia niliomba, ila sijapata email yao location ya interview ni wap?
CALL FOR APTITUDE TEST.
We would like to inform you that you have been selected to attend an aptitude test for the position of Banking Operations Officer. The test will be conducted on Wednesday 31/07/2019, at 12.30pm. The venue will be at The University of Dar es salaam, College of Information and Communication Technologies(Luhanga Hall)next to TTCL Office Kijitonyama located along Bagamoyo road (Science Bus stand) in Dar es salaam . Remember to bring with you a pen and your original academic certificates
You are highly welcome.
Tpb is an equal opportunity employer!
Regards
Tpb Bank Plc



asee hatari sana yaan dogo langu bora nilivyompeleka JKT tu.Hahaha....kwanini mkuu..angeweza kujaribu na mungu angeweza kumsaidia.asee hatari sana yaan dogo langu bora nilivyompeleka JKT tu.
Wapuuzi tu hao TPB kuna vijana kadhaa wameomba na sijaona wakinipa mrejesho hata siku mojaHahaha....kwanini mkuu..angeweza kujaribu na mungu angeweza kumsaidia.
Hamna hata cha ubora washkaji zangu wamerudi juzijuzi wamekaa miaka 3 wamechakaaa, bora hata ungempeleka kijijini ukampa alime heka zake za vitunguu apate hela kuliko kwenda kulilimia jeshi alafu unatoka kapa, so usifurah saanaaa muombee tu Mungu maisha yamebadilikaasee hatari sana yaan dogo langu bora nilivyompeleka JKT tu.
Atapata ndio maana nimempeleka huko. Nina uhakika 300% atapata.Hamna hata cha ubora washkaji zangu wamerudi juzijuzi wamekaa miaka 3 wamechakaaa, bora hata ungempeleka kijijini ukampa alime heka zake za vitunguu apate hela kuliko kwenda kulilimia jeshi alafu unatoka kapa, so usifurah saanaaa muombee tu Mungu maisha yamebadilika
Mkuu wewe sema atapata but usijipe asilimia 100%....cha msingi muombe mungu amsaidie huko alipoenda afanikiwe...na rafiki angu mtoto wa kibosile mmoja mkubwa sana huko kwenye kitengo,tangu tunasoma chuo alikua na uhakika wa kuingia huko...kamaliza jkt vizuri kuingia kwenye kitengo mambo yamegoma mpaka leo....hii nchi ilipofikia sahivi hata uwe mtoto wa waziri mkuu usijipe asilimia zote...jiwe kuna siku nilimsikia anamchana naibu waziri mambo ya ndani kuwa kunavijana wake watano alitaka kuwaingiza polisi ikashindikana so asidhani jiwe hajui...sasa kama naibu waziri anashindwa nani anauhakikaAtapata ndio maana nimempeleka huko. Nina uhakika 300% atapata.