Kuitwa kwenye interview MSD

MSD ni organization makini sana, wanafanyaga real shortlist; hawanaga mambo ya kuita watu wengi..
Mimi Nlikua Arusha Nliitwa kada ya System Developer, Waliita watu 45, ila tuliofika siku ile tulikuwa watu 39 tuu...
Tulipiga aptitude test ya dakika 25 maswali yalikuwa 50, yote ni general question na yalifanana kwa kada zote tulizoitwa siku hiyo Pharmacist and Accountant..
Mungu Ni mwema nilifanikiwa pia kuitwa kwenye oral Interview, Zaidi sana Mungu aliruhusu mapenzi yake ili nijiunge nao.
Sample ya swali:
1.Antelope is running very fast than zebra, Zebra is running slower than Goat but faster than Sheep, Goat is running Slower than Antelop but faster than zebra and Sheep. With reference to the 3 statement above Zebra is the slowest of all(True or false).(Something like this nimejaribu tu kutoa mwanga inawezekana nikawa nimeruka kitu ila haliko mbali na hapo)

2. Jane can type 3500 word in MS word within 5 minutes which is equal to 4 pages, Frank can type 18000 words within 15 minutes Erick can type thrice times Jane but using only 12 minutes, How many minutes can Frank and Jane use to type number of words that Frank type?

3. Shoes, Shirt, trouser,Blanket, Pants, handkerchief, tie what is not same as others??

NOTE: Hayo maswali inawezekana yasiwe exactly kama nilivyoyaweka ila yanamlengo huo, pia Sisi tulifanya kwa computer, Interview yetu ilikuwa Tarehe 29 April, ila ilifanyika IFM na sio DUCE

Ushauri wangu: Kama mahusiano yako na Mungu ni mazuri, basi sikiliza Amani ya Moyo( Amani ya kristo iamue mioyoni mwenu) Mimi nilipoitwa tu nilijihisi nimeshapata kazi, yaani tofauti na interview zingine, nilipopigiwa nilikuwa napata kama uoga ivi. So msiangalie watu wanasema nini humu JF, mwamini Mungu tu, MSD hawana upendeleo kabisa jamani, mimi personally hakuna niliyekuwa namfahamu pale, hakuna kabisa, Ni mungu tu amenisaidia and less of my efforts.

Pitieni pia website moja inaitwa indiabix.com, General knowledge question zinaweza kuwapa mwanga.
Hii site ya Indiabix mwalimu wetu wa c programming first year maswali yote alikuwa anatoa mule. Umenikumbusha mbali aisee.
 
Inachukua muda gan tang kufanya written to oral to confirmation !? Isije ikawa ile ya nhif mpaka leo majib hamna
Kama nilivyokwisha kusema MSD ni organization makini sana, Inafanya mambo yake kwa weledi kwakweli, Maana mimi niliomba kusogeza interview ya oral wakanielewa, pia Ku-report kazini for training nikaomba wakanisaidia pia, na Simjui mtu hukoo, In short Mkuu Ni almost Mwezi na wiki ivi tu Mkuu, mfano mimi na wengine tuliofanya Written tareh 29 April and May 9 nikapokea ujumbe na
kupigiwa simu kuwa May 11 Niende for Oral interview. However mimi ilibidi niwaombe tu kuwa isingewezekana nikaomba kufanyiwa tarehe 12(siku moja mbele) wakanikubalia. So ni kama wiki tu ndugu yangu tarehe 22 nikapigiwa simu yakuwa nimefanikiwa Oral, hii nilitumiwa na email ya yenye attachement ya Inerview succession letter.
 
Nashukur sana kwa ushirikianob wako, be blessed
Na hongera sana kwa kufaulu...ts a one step achievment
 
MSD ni organization makini sana, wanafanyaga real shortlist; hawanaga mambo ya kuita watu wengi..
Mimi Nlikua Arusha Nliitwa kada ya System Developer, Waliita watu 45, ila tuliofika siku ile tulikuwa watu 39 tuu...
Tulipiga aptitude test ya dakika 25 maswali yalikuwa 50, yote ni general question na yalifanana kwa kada zote tulizoitwa siku hiyo Pharmacist and Accountant..
Mungu Ni mwema nilifanikiwa pia kuitwa kwenye oral Interview, Zaidi sana Mungu aliruhusu mapenzi yake ili nijiunge nao.
Sample ya swali:
1.Antelope is running very fast than zebra, Zebra is running slower than Goat but faster than Sheep, Goat is running Slower than Antelop but faster than zebra and Sheep. With reference to the 3 statement above Zebra is the slowest of all(True or false).(Something like this nimejaribu tu kutoa mwanga inawezekana nikawa nimeruka kitu ila haliko mbali na hapo)

2. Jane can type 3500 word in MS word within 5 minutes which is equal to 4 pages, Frank can type 18000 words within 15 minutes Erick can type thrice times Jane but using only 12 minutes, How many minutes can Frank and Jane use to type number of words that Frank type?

3. Shoes, Shirt, trouser,Blanket, Pants, handkerchief, tie what is not same as others??

NOTE: Hayo maswali inawezekana yasiwe exactly kama nilivyoyaweka ila yanamlengo huo, pia Sisi tulifanya kwa computer, Interview yetu ilikuwa Tarehe 29 April, ila ilifanyika IFM na sio DUCE

Ushauri wangu: Kama mahusiano yako na Mungu ni mazuri, basi sikiliza Amani ya Moyo( Amani ya kristo iamue mioyoni mwenu) Mimi nilipoitwa tu nilijihisi nimeshapata kazi, yaani tofauti na interview zingine, nilipopigiwa nilikuwa napata kama uoga ivi. So msiangalie watu wanasema nini humu JF, mwamini Mungu tu, MSD hawana upendeleo kabisa jamani, mimi personally hakuna niliyekuwa namfahamu pale, hakuna kabisa, Ni mungu tu amenisaidia and less of my efforts.

Pitieni pia website moja inaitwa indiabix.com, General knowledge question zinaweza kuwapa mwanga.
Kwa hiyo mmeshaanza kazi sio?Namaanisha zile post A software developers..
 
Mkuu, baada ya kufanya mtihani wao, walikuita kwenye oral interview after how many days. Maana mm nimefanya mtihani wao j4, hadi sasa naona kimya. Ww ulisubiri kwa mda gani
 
Asante sana Mkuu, Mungu ni mwema; halafu TPA na MSD Interview yao ya kwanza ilikuwa siku moja, maana nakumbuka na mimi niliitwa TPA Tareh 29 April huko Duce, ila nikaamua kwenda MSD ndiko amani yangu ya moyo ilinituma. Pole endelea kusikilizia, kwan Oral walishawapa majibu?
Umeamua kuacha Tanesco Mwanza??
 
Mkuu, baada ya kufanya mtihani wao, walikuita kwenye oral interview after how many days. Maana mm nimefanya mtihani wao j4, hadi sasa naona kimya. Ww ulisubiri kwa mda gani
Piga landline yao mana ua hayachukui muda kutoka, its less than 3days
 
Back
Top Bottom