Kuitwa kwenye interview MSD

Kuitwa kwenye interview MSD

MSD ni organization makini sana, wanafanyaga real shortlist; hawanaga mambo ya kuita watu wengi..
Mimi Nlikua Arusha Nliitwa kada ya System Developer, Waliita watu 45, ila tuliofika siku ile tulikuwa watu 39 tuu...
Tulipiga aptitude test ya dakika 25 maswali yalikuwa 50, yote ni general question na yalifanana kwa kada zote tulizoitwa siku hiyo Pharmacist and Accountant..
Mungu Ni mwema nilifanikiwa pia kuitwa kwenye oral Interview, Zaidi sana Mungu aliruhusu mapenzi yake ili nijiunge nao.
Sample ya swali:
1.Antelope is running very fast than zebra, Zebra is running slower than Goat but faster than Sheep, Goat is running Slower than Antelop but faster than zebra and Sheep. With reference to the 3 statement above Zebra is the slowest of all(True or false).(Something like this nimejaribu tu kutoa mwanga inawezekana nikawa nimeruka kitu ila haliko mbali na hapo)

2. Jane can type 3500 word in MS word within 5 minutes which is equal to 4 pages, Frank can type 18000 words within 15 minutes Erick can type thrice times Jane but using only 12 minutes, How many minutes can Frank and Jane use to type number of words that Frank type?

3. Shoes, Shirt, trouser,Blanket, Pants, handkerchief, tie what is not same as others??

NOTE: Hayo maswali inawezekana yasiwe exactly kama nilivyoyaweka ila yanamlengo huo, pia Sisi tulifanya kwa computer, Interview yetu ilikuwa Tarehe 29 April, ila ilifanyika IFM na sio DUCE

Ushauri wangu: Kama mahusiano yako na Mungu ni mazuri, basi sikiliza Amani ya Moyo( Amani ya kristo iamue mioyoni mwenu) Mimi nilipoitwa tu nilijihisi nimeshapata kazi, yaani tofauti na interview zingine, nilipopigiwa nilikuwa napata kama uoga ivi. So msiangalie watu wanasema nini humu JF, mwamini Mungu tu, MSD hawana upendeleo kabisa jamani, mimi personally hakuna niliyekuwa namfahamu pale, hakuna kabisa, Ni mungu tu amenisaidia and less of my efforts.

Pitieni pia website moja inaitwa indiabix.com, General knowledge question zinaweza kuwapa mwanga.
 
Usiogope kujarb, mm nilifanikiwa hvohvo, nilitoka mwanza to Dar, sikuwa na matumain kabsa hasa nilpokta umati wa watu bt kana IPO IPO tu, kujarb ni vzr zaidi kwan ni part of Learning! All d best mkuu!
Pamoja sana
 
MSD ni organization makini sana, wanafanyaga real shortlist; hawanaga mambo ya kuita watu wengi..
Mimi Nlikua Arusha Nliitwa kada ya System Developer, Waliita watu 45, ila tuliofika siku ile tulikuwa watu 39 tuu...
Tulipiga aptitude test ya dakika 25 maswali yalikuwa 50, yote ni general question na yalifanana kwa kada zote tulizoitwa siku hiyo Pharmacist and Accountant..
Mungu Ni mwema nilifanikiwa pia kuitwa kwenye oral Interview, Zaidi sana Mungu aliruhusu mapenzi yake ili nijiunge nao.
Sample ya swali:
1.Antelope is running very fast than zebra, Zebra is running slower than Goat but faster than Sheep, Goat is running Slower than Antelop but faster than zebra and Sheep. With reference to the 3 statement above Zebra is the slowest of all.(Something like this nimejaribu tu kutoa mwanga inawezekana nikawa nimeruka kitu ila haliko mbali na hapo)

2. Jane can type 3500 word in MS word within 5 minutes which is equal to 4 pages, Frank can type 18000 words within 15 minutes Erick can type thrice times Jane but using only 12 minutes, How many minutes can Frank and Jane use to type number of words that Frank type?

3. Shoes, Shirt, trouser,Blanket, Pants, handkerchief, tie what is not same as others??

NOTE: Hayo maswali inawezekana yasiwe exactly kama nilivyoyaweka ila yanamlengo huo, pia Sisi tulifanya kwa computer, Interview yetu ilikuwa Tarehe 29 April, ila ilifanyika IFM na sio DUCE

Ushauri wangu: Kama mahusiano yako na Mungu ni mazuri, basi sikiliza Amani ya Moyo( Amani ya kristo iamue mioyoni mwenu) Mimi nilipoitwa tu nilijihisi nimeshapata kazi, yaani tofauti na interview zingine, nilipopigiwa nilikuwa napata kama uoga ivi. So msiangalie watu wanasema nini humu JF, mwamini Mungu tu, MSD hawana upendeleo kabisa jamani, mimi personally hakuna niliyekuwa namfahamu pale, hakuna kabisa, Ni mungu tu amenisaidia and less of my efforts.

Pitieni pia website moja inaitwa indiabix.com, General knowledge question zinaweza kuwapa mwanga.
Ubarikiwe mkuu, Shukrani sana kwa mwangaza huu
 
MSD ni organization makini sana, wanafanyaga real shortlist; hawanaga mambo ya kuita watu wengi..
Mimi Nlikua Arusha Nliitwa kada ya System Developer, Waliita watu 45, ila tuliofika siku ile tulikuwa watu 39 tuu...
Tulipiga aptitude test ya dakika 25 maswali yalikuwa 50, yote ni general question na yalifanana kwa kada zote tulizoitwa siku hiyo Pharmacist and Accountant..
Mungu Ni mwema nilifanikiwa pia kuitwa kwenye oral Interview, Zaidi sana Mungu aliruhusu mapenzi yake ili nijiunge nao.
Sample ya swali:
1.Antelope is running very fast than zebra, Zebra is running slower than Goat but faster than Sheep, Goat is running Slower than Antelop but faster than zebra and Sheep. With reference to the 3 statement above Zebra is the slowest of all(True or false).(Something like this nimejaribu tu kutoa mwanga inawezekana nikawa nimeruka kitu ila haliko mbali na hapo)

2. Jane can type 3500 word in MS word within 5 minutes which is equal to 4 pages, Frank can type 18000 words within 15 minutes Erick can type thrice times Jane but using only 12 minutes, How many minutes can Frank and Jane use to type number of words that Frank type?

3. Shoes, Shirt, trouser,Blanket, Pants, handkerchief, tie what is not same as others??

NOTE: Hayo maswali inawezekana yasiwe exactly kama nilivyoyaweka ila yanamlengo huo, pia Sisi tulifanya kwa computer, Interview yetu ilikuwa Tarehe 29 April, ila ilifanyika IFM na sio DUCE

Ushauri wangu: Kama mahusiano yako na Mungu ni mazuri, basi sikiliza Amani ya Moyo( Amani ya kristo iamue mioyoni mwenu) Mimi nilipoitwa tu nilijihisi nimeshapata kazi, yaani tofauti na interview zingine, nilipopigiwa nilikuwa napata kama uoga ivi. So msiangalie watu wanasema nini humu JF, mwamini Mungu tu, MSD hawana upendeleo kabisa jamani, mimi personally hakuna niliyekuwa namfahamu pale, hakuna kabisa, Ni mungu tu amenisaidia and less of my efforts.

Pitieni pia website moja inaitwa indiabix.com, General knowledge question zinaweza kuwapa mwanga.
ushaanza kazi mkuu.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Jmn asante sana kwakututia moyo
 
hongera tpa wamekaa kimya hata tarehe ya kureport haijulikani.
Asante sana Mkuu, Mungu ni mwema; halafu TPA na MSD Interview yao ya kwanza ilikuwa siku moja, maana nakumbuka na mimi niliitwa TPA Tareh 29 April huko Duce, ila nikaamua kwenda MSD ndiko amani yangu ya moyo ilinituma. Pole endelea kusikilizia, kwan Oral walishawapa majibu?
 
yap walitupigia simu toka hapo tunasubiri sijajua nini kinaendelea nyie mlishaitwa chukua barua?
 
Asante sana Mkuu, Mungu ni mwema; halafu TPA na MSD Interview yao ya kwanza ilikuwa siku moja, maana nakumbuka na mimi niliitwa TPA Tareh 29 April huko Duce, ila nikaamua kwenda MSD ndiko amani yangu ya moyo ilinituma. Pole endelea kusikilizia, kwan Oral walishawapa majibu?
hongera kwa kuchagua sehemu sahihi mwenyewe nashukuru Mungu niliitwa position tatu tofauti ila niliyokuwa na amani nayo nikafanikiwa.
 
Tumeenda tumeyaona tuliyopaswa kuyona. Maswali ambayo wadogo /watoto zetu wa medium school wa nafanya vizuri.sema muda ndo ungewabana
 
mtapewa majibu soon subirini.
 
Back
Top Bottom