Mara ya mwisho nilipiga ile nammba ilyotumika.just to check in if they found me unreachable,
Unfortunately yule mdada anayepiga simu huwa anapewa list ya majina na kuwapigia na yalikua yameishaa.....
Mmmoja tu alikua hajapatikani na alisema atamtafuta alikua anaitwa Marry,
Alisema kama atapewa mengine ndio atafanya kupiga simuu,
Otherwise they areeeeeeee Done!!!!